Mliowahi kuamka asubuhi na kukuta hali hii naombeni ushauri!

Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala!Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni,shingoni,mapajani,kifuani au mgongoni!!Husababishwa na ninini?Maana inawasha balaa!Naombeni majibu muafaka!Nimeweka picha!!
We mnyakyusa hayo madude wakati unavuna mpunga ulikua unajiviringisha kwenye majaruba utafikir uko DP WORLD
 
Kama sio narrow bee fly itakuwa kuna kitu kwenye nguo wakati wa kuvua au kitandani kwa sababu mistari inaonesha action ilikuwa ya wakati mmoja,ingekuwa zigzag tungesema ni repetitive action.
 
Hakikisha usafi wa kucha zako
oga vizuri kabla ya kulala
Hakikisha unapolala ni pasafi na hakuna wadudu( Mbu, kunguni, papasi nk)
Hii itasaidia kuepuka kujikuna usiku

Ikiendelea basi ujue kuna shamba la miiba unaendaga kulima usiku
Kwann wampelek mwenzao kwenye Shamba la miba Sijapenda😂😂😂
 
Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala!Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni,shingoni,mapajani,kifuani au mgongoni!!Husababishwa na ninini?Maana inawasha balaa!Naombeni majibu muafaka!Nimeweka picha!!
Mkuu rinda nalo liko salama kweli? Nalo halina mikwaruzo?
 
Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala!Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni,shingoni,mapajani,kifuani au mgongoni!!Husababishwa na ninini?Maana inawasha balaa!Naombeni majibu muafaka!Nimeweka picha!!
Picha imeseviwa eti MIKWARUZO.Jpg 😆😆
 
Back
Top Bottom