Afu uyo jamaa nilishamulizaga iyo skeleton ni KE au ME akapiga kimya [emoji28][emoji28]Oya,, hiyo avatar ni balaa sio kwa hilo dansi mkuu,
We mnyakyusa hayo madude wakati unavuna mpunga ulikua unajiviringisha kwenye majaruba utafikir uko DP WORLDHali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala!Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni,shingoni,mapajani,kifuani au mgongoni!!Husababishwa na ninini?Maana inawasha balaa!Naombeni majibu muafaka!Nimeweka picha!!
Niko mbali kidogo na chumba changu,ila nalalia godoro la TANFOAM ARUSHA!
Jamani kucha sina,,imenitokea hivyo Mara kadhaa!Ajabu siku zote inapotokea hivyo ninakuwa kwenye usingizi mzito,asubuhi ninapoamka ninakuta damu mbichi inachuruzika!Kata kucha mkuu
Anza kufanya sana Ibada mkuuJamani kucha sina,,imenitokea hivyo Mara kadhaa!Ajabu siku zote inapotokea hivyo ninakuwa kwenye usingizi mzito,asubuhi ninapoamka ninakuta damu mbichi inachuruzika!
Sijui kwa sasa ila nimenunua sh.400,000 miaka minne iliyopitaLa bei gani hilo godoro?
Mkuu mbona unanitisha!!Anza kufanya sana Ibada mkuu
Weka napicha ya bed lako tuone...
Kwann wampelek mwenzao kwenye Shamba la miba Sijapenda😂😂😂Hakikisha usafi wa kucha zako
oga vizuri kabla ya kulala
Hakikisha unapolala ni pasafi na hakuna wadudu( Mbu, kunguni, papasi nk)
Hii itasaidia kuepuka kujikuna usiku
Ikiendelea basi ujue kuna shamba la miiba unaendaga kulima usiku
Mkuu rinda nalo liko salama kweli? Nalo halina mikwaruzo?Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala!Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni,shingoni,mapajani,kifuani au mgongoni!!Husababishwa na ninini?Maana inawasha balaa!Naombeni majibu muafaka!Nimeweka picha!!
Anacheza mziki anapigwa Putin na Wagner.Oya,, hiyo avatar ni balaa sio kwa hilo dansi mkuu,
Picha imeseviwa eti MIKWARUZO.Jpg 😆😆Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala!Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni,shingoni,mapajani,kifuani au mgongoni!!Husababishwa na ninini?Maana inawasha balaa!Naombeni majibu muafaka!Nimeweka picha!!
Mkuu nitumie hako ka avatar kanakochezaKama upo Single fikiria mara 2 sometimes kwenye purukushani za nyeto hayo yanatokea