Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

Epuka uwongo, acha janja janja za kujikuta born town kumbe mzaliwa wa mwanambaya

Outings nenda nae maeneo ya kawaida ungekua Moshi Kuna maeneo mengi ya kumpeleka milimani kule, mitoni huko mkaogele mto weru weru, maporomoko mbali mbali pita mpaka marangu ndani ndani

Kama anaelewa kitu Cha Arusha usimbanie msambazie ya kutosha kama mazingira hayaeleweki nicheki PM debe Moja nakuuzia 40k kitu piruuuu

Kama ni kitandan piga show za vurugu mingi mingi ustaaarabu zero slapping za Karne ya 18 vuteni bangi trombranenri

Sema angalia alivo alivo......Akili za kupewa hz saa zngn haziaply Kila mahali

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie mnaouza madawa ya kulevyia ndiyo tunaowatafuta
Unapatikana wapi mkuu au nije PM

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza mzoeane alafu then mwelekeze ila usijichanganye kujifanya sijui unautaji mahusiano ya deep hapo utampoteza maana katika mambo wazungu wanaogopa ni swaga kama za kibongo kumdanganya Binti unataka kumuoa kumbe we unataka kusipend short time hapo utampoteza mapema.
 
wapo wazi na direct, omba namba utapewa wala hawaringi wala usijisifie kupewa namba, ni tofauti na style yetu wabongo kuomba namba tu unaweza zungushwa alafu sisi mtongozo huwa unaanzia kwenye simu na utakubaliwa ama kukataliwa kwenye simu, wao wazungu hawafagilii vocal za simu, wanapenda uweke hisia zako wazi uso kwa uso yani ana kwa ana, hio namba ukipewa mtext uwe direct kwamba unataka kutoka nae dinner date, hakuna haja ya kona nyingi, chagua restaurant tulivu mwende usiku mkale huko huku unampa somo, Ukitoswa usichukie, Huwa wapo direct !!

Kwao sex sio ishu kabisa, Mahusiano kwao ni kila mtu kujitoa kwa mwenzake kupeana muda wa kuspend pamoja, kuwasiliana, kufanya maamuzi pamoja, n.k. hawanaga mambo ya kuvumiliana ni chap chap mnamalizana, ila uzuri wao huwa hawanaga visirani mkiachana

Tatizo la wazungu na sisi ni jamii tofauti sana, ni kama kuku na kanga, Kuhusu mambo ya kupika, kufuliwa nguo hayo utayafanya wewe mwenyewe, Mila zetu nyingi huona zimepitwa na wakati,

Kama ni kuhusu sex wewe piga tu ufanye utalii wa ngozi uwakilishe mabaharia wa bongo lakini usije kuingia kichwa kichwa ukamuoa
Umeweka vzr Sana mkuu
 
Msome vizuri , wazungu wengine huwa wanakuwa kwenye research zao binafsi . Mfano kuna jamaa yangu yangu fulani yeye pia kuna kipindi alikiwa na ukaribu mno na dada wa kizungu kutoka Australia . Mbaka ikafika hatua mshikaji wangu akahisi yule binti anaingia kwenye 18 zake .
Kumbe asichojua yule dada alikuwa anafanya reseach yake to prove that blackman can never be friend with a girl regardless whether it's a white or black girl .

Hivyo jamaa yangu alikuwa miongoni mwa sample . Jamaa alivyotongoza tu basi yule mzungu jibu akawa kasharijua na huo ndiyo ukawa mwisho wa maongezi yao na kuwa blocked kila sehemu walizotumia kuwasiliana .
 
wapo wazi na direct, omba namba utapewa wala hawaringi wala usijisifie kupewa namba, ni tofauti na style yetu wabongo kuomba namba tu unaweza zungushwa alafu sisi mtongozo huwa unaanzia kwenye simu na utakubaliwa ama kukataliwa kwenye simu, wao wazungu hawafagilii vocal za simu, wanapenda uweke hisia zako wazi uso kwa uso yani ana kwa ana, hio namba ukipewa mtext uwe direct kwamba unataka kutoka nae dinner date, hakuna haja ya kona nyingi, chagua restaurant tulivu mwende usiku mkale huko huku unampa somo, Ukitoswa usichukie, Huwa wapo direct !!

Kwao sex sio ishu kabisa, Mahusiano kwao ni kila mtu kujitoa kwa mwenzake kupeana muda wa kuspend pamoja, kuwasiliana, kufanya maamuzi pamoja, n.k. hawanaga mambo ya kuvumiliana ni chap chap mnamalizana, ila uzuri wao huwa hawanaga visirani mkiachana

Tatizo la wazungu na sisi ni jamii tofauti sana, ni kama kuku na kanga, Kuhusu mambo ya kupika, kufuliwa nguo hayo utayafanya wewe mwenyewe, Mila zetu nyingi huona zimepitwa na wakati,

Kama ni kuhusu sex wewe piga tu ufanye utalii wa ngozi uwakilishe mabaharia wa bongo lakini usije kuingia kichwa kichwa ukamuoa
Thread closed
 
Back
Top Bottom