Mlisho-Nyuma(Feedback) wa Safari ya Tanga.

Sikuwezi wewe mtaalamu Preta,

Matawi yako hawa ndege wetu akina mbayu wayu hawawezi kutua kabisa....

Tunasubiri feedback....

cc: Mwenyekiti - PakaJimmy,

Babu DC!!

lazima nilete hadidu za rejea.....mwenyekiti PakaJimmy naomba unukulu hii....
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahaahh,

Mbona unaniangusha kajukuu??

Ulisahau usemi wetu wa siku zote kuwa raha jipe mwenyewe....

Na pia kuwa, chakula cha safari hakiokotwi njiani........!!


Next time jipange mama Smile, sawa ehhhhhhh??

Babu yako DC!!!

Daah, nimeupenda usemi wa Chakula cha safari hakiokotwi njiani...
 
Last edited by a moderator:

mkuu ni furaha kwa wote japo wengine tulishindwa kufika, la muhimu kila kitu kimekwenda sawa na kila mtu karudi salama,
hongereni sana kwa kufanikisha hilo, tuombe uzima next time iwe na mafanikio makubwa zaidi.
 
Weeee nilijua kuna mtu kapost vitu vingine,
Nasema hiviiiiii..... Smile haondoki Tanga. Hapa kafika.....

Aiiiii yamekuwa hayo tena Mwanyasi mbona yeye mwenyewe Smile kasema hakupata wa kumpeti peti kumbe katupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ya konyagi.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mkuu....jana hiyo hiyo niliunga safari na hapa nilipo ni full duck kusubiri mwaka mpya...logistics zote zipo kama zilivyopangwa.....

U mwanamke wa shoka Preta! Unganisho lile la ajabu..ndege ilitua Ngorongoro
 
Last edited by a moderator:
U mwanamke wa shoka
Preta! Unganisho lile la ajabu..ndege ilitua
Ngorongoro

kabisa na hapa namtafuta pembe yupo wapi....kwa jinsi rais wetu alivyotupenda hata akatuletea pembe wa kikaburu....yatupasa wote tumfurahie pembe.....na wote tuseme ameeeeeen
 
Last edited by a moderator:
kabisa na hapa namtafuta pembe yupo wapi....kwa jinsi rais wetu alivyotupenda hata akatuletea pembe wa kikaburu....yatupasa wote tumfurahie pembe.....na wote tuseme ameeeeeen

Wasi2 wangu ni ndege ingetuajena mvua? amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…