secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nampenda mungu, simuogopi.Hmm kaka ndege uwe na hofu ya Mungu!😎
Hii sentensi ya hofu ya Mungu nikiisikia huwa nakereka sana. Mungu si wakuogopwa.Na hiyo hofu ndiyo inayotengeneza wakristo wanafiki.
Twin umeenda church 🤣Na hiyo hofu ndiyo inayotengeneza wakristo wanafiki.
Huyo ni kobaz.Twin umeenda church 🤣
Inategemeana.. unamuogopaje ? kama katili..... au kama mwenye rehemaHii sentensi ya hofu ya Mungu nikiisikia huwa nakereka sana. Mungu si wakuogopwa.
Unamuogopa ukiwa katika hali gani. Nifafanulie kidogo hapo.Inategemeana.. unamuogopaje ? kama katili..... au kama mwenye rehema
Haha wapi bwana, mimi hata njia ya kwenda church siijui vizuri siku hizi Twin 😂Twin umeenda church 🤣
Ngoja akupewongozo.Kumbe aloo
Cc: Marcostilone
Utabiri wako umeenda mlama vibaya sana.Huyo ni kobaz.
Kijana amefeli vibaya mno.Kumbe aloo
Cc: Marcostilone
Tutakufuatilia kwa ukaribu sanaHaha wapi bwana, mimi hata njia ya kwenda church siijui vizuri siku hizi Twin 😂
Hajui wewe ni mtu wa nechaaaKijana amefeli vibaya mno.
Usichukia mkuu Kwa utabiri wangu. Kamari imeniathiri kiasi kwamba napenda kutabiri Kila kitu.Utabiri wako umeenda mlama vibaya sana.
Mungu anatakiwa kupendwa na kuheshimiwa Period!Hii sentensi ya hofu ya Mungu nikiisikia huwa nakereka sana. Mungu si wakuogopwa.