secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #21
Upendo daima ❤️Mungu anatakiwa kupendwa na kuheshimiwa Period!
Upendo daima ❤️Mungu anatakiwa kupendwa na kuheshimiwa Period!
Siku wakimaanisha paradise kuko hivi mimi Mteja waoNampenda mungu, simuogopi.
Habari za kupotea lakini?
Sawa twin Ila naomba ukiandika ripoti ya upelelezi kwa Mchungaji, msisitize kuwa mimi ni kondoo aliyepotea mwenye mvuto basi 😂Tutakufuatilia kwa ukaribu sana
Kuna wakati alishuka mlima SINAI israel wakaogopa wakakimbia.... na aliwaambia wajitakase siku 3 before¡ kuna ile hari kama umefanya kosa kwa mwalimu mkali... hata ukimuona kwa mbali... sokoni kuna hofu inakuja automatic ila kama hujakosea unakuwa normal....Unamuogopa ukiwa katika hali gani. Nifafanulie kidogo hapo.
Salamaleko 😁 salamaleko ndugu yangu kaka ndegeeeHuyo ni kobaz.
Kama ku dodge mapindi/ utoro au kuchelewa namba☺️Kuna wakati alishuka mlima SINAI israel wakaogopa wakakimbia.... na aliwaambia wajitakase siku 3 before¡ kuna ile hari kama umefanya kosa kwa mwalimu mkali... hata ukimuona kwa mbali... sokoni kuna hofu inakuja automatic ila kama hujakosea unakuwa normal....
Hahaha 😂🤣Siku wakimaanisha paradise kuko hivi mimi Mteja wao
Kondoo mwenye mvuto kakimbia zizini tutakurudisha ukusanye sadakaSawa twin Ila naomba ukiandika ripoti ya upelelezi kwa Mchungaji, msisitize kuwa mimi ni kondoo aliyepotea mwenye mvuto basi 😂
Aimen!! (kwa sauti ya pasta Pius Mwiru)Bwana Yesu asifiwe ndugu yangu kindege
HallelujahAimen!! (kwa sauti ya pasta Pius Mwiru)
Kwani hao ambao wanabiwa kuwa wawe na hofu ya mungu wanakuwa wamefanya makosa?Kuna wakati alishuka mlima SINAI israel wakaogopa wakakimbia.... na aliwaambia wajitakase siku 3 before¡ kuna ile hari kama umefanya kosa kwa mwalimu mkali... hata ukimuona kwa mbali... sokoni kuna hofu inakuja automatic ila kama hujakosea unakuwa normal....
Nzuri tulipotea wote ukanitangulia kurudi kundini, kwema lakini?Nampenda mungu, simuogopi.
Habari za kupotea lakini?
Mambo vipi ndugu yangu katika imani!Salamaleko 😁 salamaleko ndugu yangu kaka ndegeee
Umeongea point Twin Ila mchungaji anatakiwa kupewa taarifa mapema kuwa nitarudi tu kama tutaweka mkataba wa 50/50 commission kwenye hiyo sadaka na fungu la kumi. Bila asilimia zangu siji! 😂Kondoo mwenye mvuto kakimbia zizini tutakurudisha ukusanye sadaka
Maana utakua unavutia watu kuleta fungu la kumi si ndio twin🤣
Waswahili wengi wana akili ndogo sana ukiwasikiliza wanavyoongea kwenye public.Hii sentensi ya hofu ya Mungu nikiisikia huwa nakereka sana. Mungu si wakuogopwa.
Hakika tumekombolewa na Yawe!Hallelujah
Kwema. Dah! Tulikulilia sana aisee!Nzuri tulipotea wote ukanitangulia kurudi kundini, kwema lakini?