Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
AshuoNimekaa sana maeneo ya Lyamungo Sinde aise! Hadi nimezoeana na watu wengi sana kule.
AshuoNimekaa sana maeneo ya Lyamungo Sinde aise! Hadi nimezoeana na watu wengi sana kule.
Wazungu walituambia ukiwa na hofu ya Mungu utakwenda mbinguni. Wao wapige hatua kiunyama (utumwa) nasi tubaki tunaelekeza macho juu mbinguni. Niligundua huo ni uhuni, hakuna mbinguni wala motoni, wewe pambana tu na hali yako.Sawa twin Ila naomba ukiandika ripoti ya upelelezi kwa Mchungaji, msisitize kuwa mimi ni kondoo aliyepotea mwenye mvuto basi 😂
“Basi tukiijua hofu ya Bwana, twawavuta wanadamu; lakini tumedhihirishwa mbele za Mungu. Nami natumaini ya kuwa tumedhihirishwa katika dhamiri zenu pia.Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe.
Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia.
Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu.
Hivyo , nipende kukuambia wewe mlokole mwenzangu kamwe usimwambie mtu awe na hofu ya mungu, bali awe anampenda mungu.
Mbarikiwe nyote!
Seran.
2 Corinthians 5:11Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe.
Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia.
Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu.
Hivyo , nipende kukuambia wewe mlokole mwenzangu kamwe usimwambie mtu awe na hofu ya mungu, bali awe anampenda mungu.
Mbarikiwe nyote!
Seran.
Sawa Mkuu. Kimombo kimenipiga chenga 😅.2 Corinthians 5:11
[11]Therefore, being conscious of fearing the Lord with respect and reverence, we seek to win people over [to persuade them]. But what sort of persons we are is plainly recognized and thoroughly understood by God, and I hope that it is plainly recognized and thoroughly understood also by your consciences (your inborn discernment).
Mimi nikitoka natoka kabisa na kila kitu changu 😂Adriz ameshafunguliwa, lakini bado hajaja jukwaani. Labda anachanja mbuga kwa kutumia parody 😂
🔥🔥Mimi nikitoka natoka kabisa na kila kitu changu 😂