secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #61
Wametafsiri vibaya basi.Fear the Lord¡ matumizi ya hili neno, linasumbua
Wametafsiri vibaya basi.Fear the Lord¡ matumizi ya hili neno, linasumbua
Tupendane ❤️Nawapenda sana❤️
Mungu hataki heshima yako anataka utii wakoHapana mkuu, kitu unachokipenda hupaswi kukihofia bali ukiheshimu.
Sasa hali imekuwa tofauti kwa sisi walokole, yaani tunamuhofia mungu na tunamtukana shetani matusi ya nguoni.
Inauma sana yaani!
Yes, anaanguka. Anaanza kufanya vitu viovu mafichoni.Hii ni moja ya udhaifu mkubwa kwenye dini. Mungu anapewa sura ya ''kutisha'' ndiyo maana watu wengi wanaanguka kwenye dhambi. Unajua binadamu anapotii kwa kuogopa badala ya kuheshimu kwa upendo mara nyingi ataanguka.
Baridi inapuliza japo si sana. Unajua isimani Iko karibu na Dodoma, hivyo baridi siyo kali sana.Mwandindi si ni muislamu alikua SAID KAMA SIKOSEI
vipi hali ya iringa hapa nipo mwenge dar es salaam hali ni baridii na jua linawaka kwa utulivu sanaa
Mcheni BWANA, au mwogopeni BWANA. Wale wa pastor wanaochimbua mpaka kiebrania hili nalo waliangalie...Wametafsiri vibaya basi.
Mchungaji unaita waumini bestie🤔nimejipendekeza au sio
Ndiyo. Tunapaswa kumtii na si kumuhofia. Heshima ni sawa na kutii.Mungu hataki heshima yako anataka utii wako
Kabisa mkuu.Mcheni BWANA, au mwogopeni BWANA. Wale wa pastor wanaochimbua mpaka kiebrania hili nalo waliangalie...
Adriz wapi na alifanya nini, naona wenye kazi zao wameanzisha na nyuzi kabisa😁Tupendane ❤️
Adriz ameshafunguliwa, lakini bado hajaja jukwaani. Labda anachanja mbuga kwa kutumia parody 😂Adriz wapi na alifanya nini, naona wenye kazi zao wameanzisha na nyuzi kabisa😁
Atembeze kwanza mkong’oto mpaka wakome😆Adriz ameshafunguliwa, lakini bado hajaja jukwaani. Labda anachanja mbuga kwa kutumia parody 😂
Yes ✔️Hapo sasa tumeelawana Twin 😂
Hivi kwa nini ulibaniwa?Atembeze kwanza mkong’oto mpaka wakome😆
Sheria zilizowekwa kikatiba nchini ni unazitii kwasababu tuna hofu kuzivunja na sio kwamba unaheshimu mamlaka bali ni hofu ,Ndiyo. Tunapaswa kumtii na si kumuhofia. Heshima ni sawa na kutii.
Kwa hiyo tumuogope mungu, siyo?Sheria zilizowekwa kikatiba nchini ni unazitii kwasababu tuna hofu kuzivunja na sio kwamba unaheshimu mamlaka bali ni hofu ,
Mungu anataka utii wako na sio heshima yako maan hofu huleta unyenyekevu na utii,Musa alimuheshimu Mungu lakini alikosea kutii agizo la Mungu mfano Musa alipewa maelekezo na Mungu ya kuuamuru mwamba utoe maji ili Mungu utukufu urudi kwake ila Musa yeye ilakaidi alitumia njia ambayo ilimkwaza Mungu na akaupiga mwamba paomaj na kukaidi njia Mungu aliemuagiza maji yakatoka sasa huo sio utii na sio hofu ndiyo maana Mungu ilimkwaza unajua kwa miaka yote 40 ya Musa kuwatoa wana wa israel utumwani hakuweza kuingia kwenye nchi ya ahadi kisa ni hicho tu,na alimuheshimu Mungu sana
Nimejua Leo,Baridi inapuliza japo si sana. Unajua isimani Iko karibu na Dodoma, hivyo baridi siyo kali sana.
😂😂😂 aya banaMchungaji unaita waumini bestie🤔