Mlokole mwenzangu nisikilize! Usimwambie mtu, "kuwa na hofu ya Mungu"

Mlokole mwenzangu nisikilize! Usimwambie mtu, "kuwa na hofu ya Mungu"

Waswahili wengi wana akili ndogo sana ukiwasikiliza wanavyoongea kwenye public.
Wanashindwa kufikiria kwa mantiki. Wakati mwingine lugha inawashinda.
Ni masikitiko!
 
Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe.

Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia.

Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu.

Hivyo , nipende kukuambia wewe mlokole mwenzangu kamwe usimwambie mtu awe na hofu ya mungu, bali awe anampenda mungu.

Mbarikiwe nyote!

Seran.
Hofu ikiwa ndani yako utakuwa na Utii, Uaminifu, Unyenyekevu au nakosea
 
hofu juu ya Mungu ni kujisikia uchaji na heshima Kwake na kutii amri Zake
 
Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe.

Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia.

Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu.

Hivyo , nipende kukuambia wewe mlokole mwenzangu kamwe usimwambie mtu awe na hofu ya mungu, bali awe anampenda mungu.

Mbarikiwe nyote!

Seran.
Hii ni moja ya udhaifu mkubwa kwenye dini. Mungu anapewa sura ya ''kutisha'' ndiyo maana watu wengi wanaanguka kwenye dhambi. Unajua binadamu anapotii kwa kuogopa badala ya kuheshimu kwa upendo mara nyingi ataanguka.
 
Hofu ikiwa ndani yako utakuwa na Utii, Uaminifu, Unyenyekevu au nakosea
Hapana mkuu, kitu unachokipenda hupaswi kukihofia bali ukiheshimu.

Sasa hali imekuwa tofauti kwa sisi walokole, yaani tunamuhofia mungu na tunamtukana shetani matusi ya nguoni.

Inauma sana yaani!
 
Leo nikasema ngoja niende kwenye kanisa la TAG hapa isimani Iringa.

Mchungaji wa Leo anaitwa Zebedayo Mwamwindi. Mtoto wa yule Said Mwamwindi aliyekfanyia Kleruu kitu mbofu.
Mwandindi si ni muislamu alikua SAID KAMA SIKOSEI

vipi hali ya iringa hapa nipo mwenge dar es salaam hali ni baridii na jua linawaka kwa utulivu sanaa
 
Back
Top Bottom