Mlokole mwenzangu nisikilize! Usimwambie mtu, "kuwa na hofu ya Mungu"

Mlokole mwenzangu nisikilize! Usimwambie mtu, "kuwa na hofu ya Mungu"

Nilikula ban ya mchongo
Sasa hv nachambua vya kuandika...lakn wewe toto jinga sana nitakujibu
 
Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe.

Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia.

Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu.

Hivyo , nipende kukuambia wewe mlokole mwenzangu kamwe usimwambie mtu awe na hofu ya mungu, bali awe anampenda mungu.

Mbarikiwe nyote!

Seran.
Lazima uwe na hofu ya Mungu, bia hofu utajikuta unatenda dhambi kiholela, hofu inakupa nidhamu mbele za Mungu
 
Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe.

Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia.

Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu.

Hivyo , nipende kukuambia wewe mlokole mwenzangu kamwe usimwambie mtu awe na hofu ya mungu, bali awe anampenda mungu.

Mbarikiwe nyote!

Seran.
Neno NYETO
 
Wafundishe watoto kumpenda mungu kabla ya kumuogopa
 
Hofu ya Mungu ni dhana ya kiroho inayomaanisha heshima kubwa, unyenyekevu, na uthubutu wa kutii maagizo ya Mungu, na si kumwogopa kama adui anayetaka kukuumiza. Katika muktadha huu, neno "hofu" halina maana ya woga unaokimbiza, bali ni upendo na uchaguzi wa kutotenda dhambi ili usivunje uhusiano wako naye.

Sifa Kuu za Hofu ya Mungu​


  • Heshima ya Juu: Kutambua ukuu na utakatifu wa Mungu.
  • Utii wa Hiari: Kufuata amri zake kwa kupenda, sio kwa kulazimishwa.
  • Kuepuka Mabaya: Kujiepusha na uovu hata pale ambapo hakuna mwanadamu anayekuona.
  • Unyenyekevu: Kukubali kuwa mwanadamu ana mipaka na anamtegemea Muumba.

Tofauti Kati ya Hofu ya Mungu na Woga wa Kibinadamu​


  • Hofu ya Mungu: Hujenga amani, huleta hekima, na inamvuta mtu karibu na Mungu.
  • Woga wa Kibinadamu: Huleta wasiwasi, hukosesha amani, na humfanya mtu akimbie au ajifiche.
 
Back
Top Bottom