secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #121
Hofu ni hofu tu!Hofu ya Mungu ni dhana ya kiroho inayomaanisha heshima kubwa, unyenyekevu, na uthubutu wa kutii maagizo ya Mungu, na si kumwogopa kama adui anayetaka kukuumiza. Katika muktadha huu, neno "hofu" halina maana ya woga unaokimbiza, bali ni upendo na uchaguzi wa kutotenda dhambi ili usivunje uhusiano wako naye.
Sifa Kuu za Hofu ya Mungu
- Heshima ya Juu: Kutambua ukuu na utakatifu wa Mungu.
- Utii wa Hiari: Kufuata amri zake kwa kupenda, sio kwa kulazimishwa.
- Kuepuka Mabaya: Kujiepusha na uovu hata pale ambapo hakuna mwanadamu anayekuona.
- Unyenyekevu: Kukubali kuwa mwanadamu ana mipaka na anamtegemea Muumba.
Tofauti Kati ya Hofu ya Mungu na Woga wa Kibinadamu
- Hofu ya Mungu: Hujenga amani, huleta hekima, na inamvuta mtu karibu na Mungu.
- Woga wa Kibinadamu: Huleta wasiwasi, hukosesha amani, na humfanya mtu akimbie au ajifiche.
Unajichanganya ili ugundue nini?Huwa napenda kujichanganya na vijana ndiyo maana naandika kiGenZ.
Ili nijue mabinti wa GenZ wanapendelea vitu gani.Unajichanganya ili ugundue nini?
Unapenda dogodogo sio?😅Ili nijue mabinti wa GenZ wanapendelea vitu gani.
Hivyo yaani!😋Unapenda dogodogo sio?😅
Ntachukua kiboko nikucharaze maskioHofu ni hofu tu!
Wacha namie siku nijaribu nione utofauti uko wapi😎Hivyo yaani!😋
Nisamehe mkuu, nina hofu yako.Ntachukua kiboko nikucharaze maskio
Wewe ni wangu peke yangu.Wacha namie siku nijaribu nione utofauti uko wapi😎
Sasa si ntakuletea testimony, ni kujaribu tu😎Wewe ni wangu peke yangu.
Acha tu, hawa watoto wa GenZ hawana jipya.Sasa si ntakuletea testimony, ni kujaribu tu😎
Wewe unajaribu nini kama hawana jipya😁Acha tu, hawa watoto wa GenZ hawana jipya.
Mimi ni mwanasaikolojia, nafanya utafiti tu.Wewe unajaribu nini kama hawana jipya😁
Mimi ni mwana falsafa nafanya utafiti pia😎Mimi ni mwanasaikolojia, nafanya utafiti tu.
Ok, fanya utafiti wako, lakini tunda langu lisimenywe, sawasawa!Mimi ni mwana falsafa nafanya utafuti pia😎
Sawa, lakini vipi maji yakichotwa ila kisima kisichafuliwe?Ok, fanya utafiti wako, lakini tunda langu lisimenywe, sawasawa!
Hiyo ni mbaya!Sawa, lakini vipi maji yakichotwa ila kisima kisichafuliwe?
Sio sawa..Hiyo ni mbaya!
Kaka ndege wewe ni mtu mbad in positive ways 😁☺️😊