Mlokole mwenzangu nisikilize! Usimwambie mtu, "kuwa na hofu ya Mungu"

Sawa twin Ila naomba ukiandika ripoti ya upelelezi kwa Mchungaji, msisitize kuwa mimi ni kondoo aliyepotea mwenye mvuto basi πŸ˜‚
Wazungu walituambia ukiwa na hofu ya Mungu utakwenda mbinguni. Wao wapige hatua kiunyama (utumwa) nasi tubaki tunaelekeza macho juu mbinguni. Niligundua huo ni uhuni, hakuna mbinguni wala motoni, wewe pambana tu na hali yako.
 
β€œBasi tukiijua hofu ya Bwana, twawavuta wanadamu; lakini tumedhihirishwa mbele za Mungu. Nami natumaini ya kuwa tumedhihirishwa katika dhamiri zenu pia.
”
β€” 2 Wakorintho 5:11 (Biblia Takatifu)
 
2 Corinthians 5:11
[11]Therefore, being conscious of fearing the Lord with respect and reverence, we seek to win people over [to persuade them]. But what sort of persons we are is plainly recognized and thoroughly understood by God, and I hope that it is plainly recognized and thoroughly understood also by your consciences (your inborn discernment).
 
Sawa Mkuu. Kimombo kimenipiga chenga πŸ˜….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…