Mlundikano wa michango makanisani itafanya watu warudi kuabudu mizimu ya kwao

Usipime,ni juzi nimetoka kuongea na mtu analalamikia utitiri wa michango akitolea mfano ununuzi wa gari la Paroko wao 120M.

Parokia ipo kijijini huko Poroko wao anatumia boda na waumini vigangoni ni choka hasa,kwa nini asinunue gari la bajeti himilivu!
 
Uzuri ni kwamba michango ya Catholic huwa inaonekana inafanya nini, wakianzisha ujenzi michango ikawepo na kweli ujenzi unafanyika na unaonekana
Kuna michango mingi ya kindezi.

Mchango wowote ukishaona una ulazima stuka.
 
Rudini makanisa mama hayana michango ya hovyo yote inafahamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…