Mlundikano wa michango makanisani itafanya watu warudi kuabudu mizimu ya kwao

unatambika mara ngapi kwa mwaka?
Inategemea kama unapoona mambo magumu unatoa sadaka na maombi kwenye matambiko ipo hivyo hivyo mambo hayaendi unaenda kwa wazee na vitu watakavyovitaka
 
Hizi dini ni utapeli,
Imani za kiDini zimegeuka Ni biashara.

Nchini Saudia na Israel, utalii WA dini unaingiza pesa nyingi sn kuliko maliasili za nchi
 
Imani za kiDini
(hasa vya Islamic na christian) Ni vyombo vya propaganda,unyonyaji na ukandamizaji.

Hivi vimejikita zaidi katika unyonyaji wa kisaikolojia zaidi kuliko Nguvu.
 
Kweli kbs mkuu
 
Bila kutoa sadaka hutoboi chief .

Hata huko kwenye mizimu sadaka ni lazima tena ikiwa kubwa ndio utapata makubwa.
 
Unasali kanisa la Manabii ndio mambo yao,utakamuliwa mpk ukome
 
unapoona mambo magumu unatoa sadaka na maombi kwenye matambiko
daah hapa umenikumbusha yale mambo yalotaka kufanywa na timu moja kubwa ya futbol apa nchini kabla ya ile mechi namba 184 ya tarehe 8 pale kwa mkapa😂
 
daah hapa umenikumbusha yale mambo yalotaka kufanywa na timu moja kubwa ya futbol apa nchini kabla ya ile mechi namba 184 ya tarehe 8 pale kwa mkapa😂
Hatari sana Madhara ya matambiko wakati wa kujitoa ndio Mziki unakuwa hapo bora dini ukiamua hauendi kanisa na hakuna wakukuhoji sana..
 
Unaweza mwabudu mungu Kwa kumtembelea bibi mjane na mkate wa baresa tu na jina lako lika andikwa mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…