Mmakonde umenikera huko Rwanda

Katika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui😂
We mwenyewe unatenda usichopenda neno "ishu" ni lugha ipi?
Wanyarwanda wanaongea na kuchanganya na kifaransa au kiingereza au kiswahili... ni kawaida sana kwa nchi zetu zilizo tawaliwa na wakoloni...
Unachojaribu kuonyesha ni chuki zako na ushabiki ulionao kwa Mbagala.... ye mwenyewe ni mnafiki mnasahau hata yeye alimtumia konde kuvuna na kufika alipokuwa... kamtungia nyimbo kampa mawazo kwa ufupi Diamond hawezi kusema kawabeba hawa watoto ila wamebebana nukta kubwa.
 
Katika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui😂
Wenzako wanaona akichanganya na Kiingereza anaonekana kaendelea.

Ukisikiliza mahojiano yaa Wema Sepetu na vyombo vya habari unaweza kufikiri kua ameishi zaidi nje kuliko Bongo,siku hizi mpaka Giggy Money nae anaanza kukisahau Kiswahili.

😀😀
 
Hello umeniandikia mimi au??
 
Umekereka kwa sababu ulitegemea aongee kiswahili ili na wewe uelewe ila haijatokea hivo. No mara waa, .
I can speak English fluently but am not proud of it. Huwa ni aibu sana mbele ya mgeni anaye jitahidi kuongea Lugha yako Alafu wewe unajifanya mzungu. Bora uongee hizo broken Kwa wabongo wenzako kiwalingishia na Sio mbele ya MWENYE kujua zaidi yako ila ameamua kuacha na kuheshimbswahilo
 
Acha kukurupukia mambo
Umeshajaa mihemko... sio mbaya lakini... ila kamata hii "usiamini kila unacho waza" Konde yupo kimasilahi chochote anachofanya kwake ni sehemu ya ulaji... uchukie ufurahi ye anavuta chapaa... we huku unaanzisha uzi unafura mwenzio noti zinaingia... we unabaki na makasiriko yako. Pambana na wewe tukuanzishie nyuzi.😆
 
Mkuu kuwa na adabu huo ujinga umefanywa na huyo Rajab sasa umakonde unaingiaje hapo?
 
Hongera
 
Katika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui😂

Sio hilo, kuna sehemu tofauti ndani ya Tanzania wanataka ulipe kwa dolar za kimarekani. Hii swala linanikera sana
 
 
Katika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui[emoji23]
Hivi kuna watu wanaochanganya lugha kwenye mazungumzo kama wakenya? Hao wanaweza kuchanganya kiswahili,kingereza na kilugha chao humo humo
 
Hivi kuna watu wanaochanganya lugha kwenye mazungumzo kama wakenya? Hao wanaweza kuchanganya kiswahili,kingereza na kilugha chao humo humo
Walau lugha wanazochanganya wanazijua kwa ufasaha sasa broken ya konde si ni aibu,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…