Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Wait...Ipi hiyo tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wait...Ipi hiyo tena?
We mwenyewe unatenda usichopenda neno "ishu" ni lugha ipi?Katika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui😂
Wenzako wanaona akichanganya na Kiingereza anaonekana kaendelea.Katika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui😂
Hello umeniandikia mimi au??We mwenyewe unatenda usichopenda neno "ishu" ni lugha ipi?
Wanyarwanda wanaongea na kuchanga na kifaransa au kiingereza au kiswahili... ni kawaida sana kwa nchi zetu zilizo tawaliwa na wakoloni...
Unachojaribu kuonyesha ni chuki zako na ushabiki ulionao kwa Mbagala.... ye mwenyewe ni mnafiki mnasahau hata yeye alimtumia konde kuvuna na kufika alipokuwa... kamtungia nyimbo kampa mawazo kwa ufupi Diamond hawezi kusema kawabeba hawa watoto ila wamebebana nukta kubwa.
Usingizi haujakuisha baada ya muda utaelewa kuwa mtulivu kidogo.Hello umeniandikia mimi au??
Acha kukurupukia mamboUsingizi haujakuisha baada ya muda utaelewa kuwa mtulivu kidogo.
I can speak English fluently but am not proud of it. Huwa ni aibu sana mbele ya mgeni anaye jitahidi kuongea Lugha yako Alafu wewe unajifanya mzungu. Bora uongee hizo broken Kwa wabongo wenzako kiwalingishia na Sio mbele ya MWENYE kujua zaidi yako ila ameamua kuacha na kuheshimbswahiloUmekereka kwa sababu ulitegemea aongee kiswahili ili na wewe uelewe ila haijatokea hivo. No mara waa, .
Umeshajaa mihemko... sio mbaya lakini... ila kamata hii "usiamini kila unacho waza" Konde yupo kimasilahi chochote anachofanya kwake ni sehemu ya ulaji... uchukie ufurahi ye anavuta chapaa... we huku unaanzisha uzi unafura mwenzio noti zinaingia... we unabaki na makasiriko yako. Pambana na wewe tukuanzishie nyuzi.😆Acha kukurupukia mambo
Mkuu kuwa na adabu huo ujinga umefanywa na huyo Rajab sasa umakonde unaingiaje hapo?Nikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono inatakiwa kumpa heshima yake.
Sasa huyu mjinga leo nimeangalia Interview yake akiwa Rwanda katikati ya mahojiano mtangazaji akatangaza kuwa sasa tunahamia katika lugha adhim ya Kiswahili!
Kumbuka Rwanda wengi au wote wanajaribu kujifunza Kiswahili na wanakipa heshima. Mashuleni wanajifunza Kiswahili na wakimpata Mswahili kwao ni furaha kwani wanafurahia.
Sasa ajabu ni kwamba alikua anaulizwa maswali kwa Kiswahili yeye anajibu kwa Broken English yake ya Chitoholi. Nimekereka na sasa nimeamua nikumdharau huyu mshamba.
Ajabu ili Kuonesha kuwa Wanyarwanda hawamuelewi, yule Mtangazaji anaye ongea Kiswahili ikabidi atafsiri hiyo broken Kwa Kinyarwanda ili watu waelewe.
Yaani Mfano unaulizwq wewe ni Mtanzani Alafu unasema Mimi ni mzungu, Kisha jamaa anawatangazia Wanyarwanda jamani hili ni Limakonde tu, halijielewi
HongeraI can speak English fluently but am proud of it. Huwa ni aibu sana mbele ya mgeni anaye jitahidi kuongea Lugha yako Alafu wewe unajifanya mzungu. Bora uongee hizo broken Kwa wabongo wenzako kiwalingishia na Sio mbele ya MWENYE kujua zaidi yako ila ameamua kuacha na kuheshimbswahilo
Katika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui😂
Nikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono inatakiwa kumpa heshima yake.
Sasa huyu mjinga leo nimeangalia Interview yake akiwa Rwanda katikati ya mahojiano mtangazaji akatangaza kuwa sasa tunahamia katika lugha adhim ya Kiswahili!
Kumbuka Rwanda wengi au wote wanajaribu kujifunza Kiswahili na wanakipa heshima. Mashuleni wanajifunza Kiswahili na wakimpata Mswahili kwao ni furaha kwani wanafurahia.
Sasa ajabu ni kwamba alikua anaulizwa maswali kwa Kiswahili yeye anajibu kwa Broken English yake ya Chitoholi. Nimekereka na sasa nimeamua nikumdharau huyu mshamba.
Ajabu ili Kuonesha kuwa Wanyarwanda hawamuelewi, yule Mtangazaji anaye ongea Kiswahili ikabidi atafsiri hiyo broken Kwa Kinyarwanda ili watu waelewe.
Yaani Mfano unaulizwq wewe ni Mtanzani Alafu unasema Mimi ni mzungu, Kisha jamaa anawatangazia Wanyarwanda jamani hili ni Limakonde tu, halijielewi
Inaonesha kiasi gani hatuikubali asili yetuSio hilo, kuna sehemu tofauti ndani ya Tanzania wanataka ulipe kwa dolar za kimarekani. Hii swala linanikera sana
Hivi kuna watu wanaochanganya lugha kwenye mazungumzo kama wakenya? Hao wanaweza kuchanganya kiswahili,kingereza na kilugha chao humo humoKatika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui[emoji23]
Atakimbilia juu kitandani na hamaki na amri atamwambia mkewe we mwanamke muoga kama mwanamke."Ua kinyoka hicho."Mleta mada unaweza kukuta ni Baba wa familia na anategemewa kumuua Nyoka pale atakapo ingia ndani ya Nyumba.
Walau lugha wanazochanganya wanazijua kwa ufasaha sasa broken ya konde si ni aibu,,Hivi kuna watu wanaochanganya lugha kwenye mazungumzo kama wakenya? Hao wanaweza kuchanganya kiswahili,kingereza na kilugha chao humo humo