Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Nikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono inatakiwa kumpa heshima yake.
Sasa huyu mjinga leo nimeangalia Interview yake akiwa Rwanda katikati ya mahojiano mtangazaji akatangaza kuwa sasa tunahamia katika lugha adhim ya Kiswahili!
Kumbuka Rwanda wengi au wote wanajaribu kujifunza Kiswahili na wanakipa heshima. Mashuleni wanajifunza Kiswahili na wakimpata Mswahili kwao ni furaha kwani wanafurahia.
Sasa ajabu ni kwamba alikua anaulizwa maswali kwa Kiswahili yeye anajibu kwa Broken English yake ya Chitoholi. Nimekereka na sasa nimeamua nikumdharau huyu mshamba.
Ajabu ili Kuonesha kuwa Wanyarwanda hawamuelewi, yule Mtangazaji anaye ongea Kiswahili ikabidi atafsiri hiyo broken Kwa Kinyarwanda ili watu waelewe.
Yaani Mfano unaulizwq wewe ni Mtanzani Alafu unasema Mimi ni mzungu, Kisha jamaa anawatangazia Wanyarwanda jamani hili ni Limakonde tu, halijielewi