Mmakonde umenikera huko Rwanda

Mmakonde umenikera huko Rwanda

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Nikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono inatakiwa kumpa heshima yake.

Sasa huyu mjinga leo nimeangalia Interview yake akiwa Rwanda katikati ya mahojiano mtangazaji akatangaza kuwa sasa tunahamia katika lugha adhim ya Kiswahili!

Kumbuka Rwanda wengi au wote wanajaribu kujifunza Kiswahili na wanakipa heshima. Mashuleni wanajifunza Kiswahili na wakimpata Mswahili kwao ni furaha kwani wanafurahia.

Sasa ajabu ni kwamba alikua anaulizwa maswali kwa Kiswahili yeye anajibu kwa Broken English yake ya Chitoholi. Nimekereka na sasa nimeamua nikumdharau huyu mshamba.

Ajabu ili Kuonesha kuwa Wanyarwanda hawamuelewi, yule Mtangazaji anaye ongea Kiswahili ikabidi atafsiri hiyo broken Kwa Kinyarwanda ili watu waelewe.

Yaani Mfano unaulizwq wewe ni Mtanzani Alafu unasema Mimi ni mzungu, Kisha jamaa anawatangazia Wanyarwanda jamani hili ni Limakonde tu, halijielewi
 
Nikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono inatakiwa kumpa heshima yake.

Sasa huyu mjinga leo nimeangalia Interview yake akiwa Rwanda katikati ya mahojiano mtangazaji akatangaza kuwa sasa tunahamia katika lugha adhim ya Kiswahili!

Kumbuka Rwanda wengi au wote wanajaribu kujifunza Kiswahili na wanakipa heshima. Mashuleni wanajifunza Kiswahili na wakimpata Mswahili kwao ni furaha kwani wanafurahia.

Sasa ajabu ni kwamba alikua anaulizwa maswali kwa Kiswahili yeye anajibu kwa Brocken English yake ya Chitoholi. Nimekereka na sasa nimeamua nikumdharau huyu mshamba.
sawa ila sio BROCKEN
 
Bado ana wenge la kuachika kwa bi kizee na ushamba.
 
Chitoholi Bush Huko Tandahimba Kagoma Kuongea Swahili
Wakati Mzilankende Alikuwa Popote Anapiga Washobokela
 
Angejua watoto wa kitutsi wanavyopenda kiswahili angewazoa km kumbikumbi yani, kuna mdada mmoja wa huko alikuwa shosti yangu alinambia anapenda sana kiswahili na hasa neno 'nakupenda' likitamkwa na mwanaume wa kitz analowa kabisaaa[emoji23][emoji23]nilishangaa sana,

Rwanda wanaongea lugha zifuatazo kinyarwanda, kifaransa, kiingereza na kiswahili na kiganda, sasa kwa sababu wana interaction sana na Tanzania walijikuta wengi wanaongea kiswahili tena ni lugha wanayoipenda hadi mashuleni wameenza kusomeshwa miaka mingi tu, tatizo la watanzania na wasanii wetu wengi elimu ya lugha hawana hivo codemixing and code switching kwao ni kawaida bila kufahamu wanaathiri maana ya mazungumzo, ukiamua kuongea kiingereza ongea chenyewe tu na ukiamua kuongea kiswahili tumia chenyewe tu ndio ustaarabu kwenye lugha,
 
Katika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui😂
 
Katika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui[emoji23]

Wengi hatuna ustaarabu katika mazungumzo ndio kinachotuathiri, ni kukosa uelewa tu na sababu kubwa ni kutaka kujifanya uonekane wewe unajua kumbe hakuna unalojua
 
Tena ukichsnganya hivyo ndo unaonekana mshamba haswa
 
Angejua watoto wa kitutsi wanavyopenda kiswahili angewazoa km kumbikumbi yani, kuna mdada mmoja wa huko alikuwa shosti yangu alinambia anapenda sana kiswahili na hasa neno 'nakupenda' likitamkwa na mwanaume wa kitz analowa kabisaaa😂😂nilishangaa sana,
Ahadi yako iliishia wapi?
 
Back
Top Bottom