Mmemuona Freeman Mbowe kwenye ‘suti sare’ na Mawaziri wa CCM?

"
Muheshimiwa mwenyekiti wetu NTU WA DILI ,kachukua ushuru kwenye chombo ya kanali afu 20 kuniziba mie n' domo kanipa afu tatu ,kataaa brazaa kataaaa!!
 
Huyu jamaa ana ujasili mkubwa sana, kibri na dharau ya hali ya juu hii ni tabia ya Shetani kwa 70%
Hashindwi kutembea uchi akiwa amening'iniza kichwa cha Lissu huyu.
 
Bado kitambo mzee wa anga ataonekana kwenye kikosi cha ulinzi wa rais na hapo ndipo CHADEMA watalia na kusaga meno.
 

MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....​

 
sikudhani kama hili zee ni jinga hivi. Atalipa gharama za kuaminiwa na watz hadi wengine wakapoteza maisha yao, na wengine kufungwa, na wengine kuwa vilema na yatima
 
Sijui, lakini swali la kujiuliza ni kwanini CCM huwa wanafanya election rigging kama uwezo wa kupata clean victory wanao?
Republicans wanafanya kila mbinu ku rig uchaguzi ujao wa Marekani ili watangazwe kuwa washindi. Unfortunately katika nchi nyingi kutangazwa kuwa umeshinda ni muhimu kuliko kupata kura nyingi kuliko wengine.

Amandla...
 
Hakuna aliyemtukana wala kumzuia asiendelee na maisha yake...
Kwa hiyo humu ndani mnamsifia kwa kumuita msaliti aliyelamba asali? Wangeweza kumzuia wangefanya hivyo lakini hawana huo uwezo. Na asingekuwa anajielewa na kuwa na support system nzuri ( familia, marafiki n.k.) angeathirika.

Imagine watu wakati anamzika mkwe wake kuna wapuuzi walimzushia kuwa kawazuia Chadema kushiriki na alikuwa na nia ya kumualika Mwenyekiti wa CCM kuongoza msiba! Na uongozi wa Chadema ukakaa kimya kama ambavyo unakaa kimya anapo tukanwa.

Kwa kweli kama kuna usaliti, yeye ndie aliyesalitiwa na uongozi wa Chadema. Kuna ugumu gani kuwataka mashabiki na wanachama wa Chadema waache kumsakama?

Amandla...
 
Mbowe bado ni mjumbe wa kamati Kuu Chadema tena akiwa Mwenyekiti Mstaafu amepata kigugumizi kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti aliyemuachia madaraka.
 
Mbowe bado ni mjumbe wa kamati Kuu Chadema tena akiwa Mwenyekiti Mstaafu amepata kigugumizi kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti aliyemuachia madaraka.
Katika terms of reference za nafasi ya mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti Aliyepita ( hakustaafu, alishindwa kwenye uchaguzi) kuna sehemu inayomtaka ahudhurie kesi za Mwenyekiti wa Chadema? Na Mbowe hakumuachia Lissu madaraka. Mbowe alishindwa kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti na hivyo aliwajibika kumpisha mshindi ashike madaraka. Kusema "alimuachia" ni kama vile aling'atuka kwenye uenyekiti.

Amandla...
 
Mkuu mipango inasukwa ili kurudishwa kwenye cheo chake, CCM wanajiraumu sana Kama kuna kitu kwwnye Siasa CCM walibugi ni kujisahau kumlinda Mbowe ili abaki Kukiongoza Chama cha Chadema, inaoneka Mbowe alikua hapewi fungu la mapesa na Magufuli ndiyo Maana awamy ya Magufuli alikua ana pinga kila jambo hata hilo la Bwawa la Umeme alilipinga na Ujenzi wa Reli na Madaraja alikua anapinga kwakusema Wanataka Maendeleo ya Watu na siyo Maendeleo ya Vitu hii Ndiyo ilikua hoja yao. Lakini alivyoingia Samia na Mbowe kulambishwa Asali akaacha kuisema vibaya Serikali.
 
Boss utakuwa umesahau kauli ya Mbowe, alisema anaenda likizo ili "Akasimamie Biashara Zake”.

Elewa neno "Biashara zake".
 
KIla mbuzi hula kwa urefu wa kambaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…