Huwa wanasemaga hivyohivyo. Hata kagame huwa anasemaga kuwa haongezi tena ila ukikaribia uchaguzi anakuja kivingine. Jpm maneno yake ilikuwa tofauti na vitendo ndo maana aliiba uchaguzi wote ili ahakikishe ccm ndo wanakuwa bungeni ili kulinda maamuzi yakeUmeandika vzr lakini ukafanya ujinga kumuingiza Magufuli aliyeongoza kwa miaka mitano pekee na kutuaga kwa mapenzi ya mungu. Na alisisitiza kwamba hataongeza hata dakika moja. Hivyo usiwe mjinga
Trump ana miaka mingapi ?Mtu mwenye miaka 76 hakutakiwa kuwa rais,ni kuyumba kwa dish la Biden kwenye mdahalo ndiyo kumemtoa,mnakuaje na rais hawezi nyoosha sentensi kisa dishi haliko sawa!!?
Sipendi mtu anae laani Africa π....hili bala limebatikiwa wewe ni nani utoe laanaKila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
na malizia kuvuna nije kuelezea mageuzi na mapinduzi yaliyofanyika katika katika kilimo kwenye awamu hii ya sita chini ya Kiongozi wetu ambae tunampenda sana kama Taifa Dr.Samia Suluhu Hassan, kwenye sekta hii ya kilimo inayosimamiwa na huyu kijana mchaka kazi mbunifu, hodari sana asie choka waziri Husseni Bashe πKwan wewe ni January au Nape?? Wamekitengua, umesusa na praise na worship team... sasa Tlaatlaah atabaki mpweke
Someni na kuelewa!!Trump ana miaka mingapi ?
Trump naye hupoteza memory,siku hizi naona huongea taratibu,sijui kwa niniBiden anamkaribisha Zelensky alafu anamuita Jina Putin na Nchi anampa Ukraine, Biden ni Yuniki Fulawa wa Marekani dish limeyumba
Kuna li mtu lingine watu wanatamani liwe rais haki ya nani mtahama kwa navyolijua mimi.Ki vipi. Kwani unaona sisis waafrica ni watu wa kawaida? Kama jpm ndo kabisa lilikuwa li dictator upcoming. Mungu akaamu kumuangamizia mbali asije chafua taifa lililokabidhiwa liwe chini ya ulinzi wa bikra maria na papa paul wa pili
Kwa sababu wenge ukiyumbishwa umeyumba na kuangukia Mtoni ndio maana ilipigwa risasi akili yake ikamwambia hapa cha kwanza ni kubonyea Chini tuTrump naye hupoteza memory,siku hizi naona huongea taratibu,sijui kwa nini
Umeandika vzr lakini ukafanya ujinga kumuingiza Magufuli aliyeongoza kwa miaka mitano pekee na kutuaga kwa mapenzi ya mungu. Na alisisitiza kwamba hataongeza hata dakika moja. Hivyo usiwe mjinga
Hizo ndo akili za kimasikini mlizoachiwa na lile shetani lenu la Chato.Kampe pole boss wako, emewekwa kando.
Mseveni na kagame wamefikia uzee wa Biden?Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Sawa nepiNa lile jitu kama sio Mungu kuingilia kati lisingetoka madarakani
Kwaiyo wizi, ufisadi na kubebwa kisa ni watoto wa wastafu kwenu nyie ndo roho ya utajiri?Hizo ndo akili za kimasikini mlizoachiwa na lile shetani lenu la Chato.
Mliaminishwa kuwachukia tu ambao shetani lenu halikuwapenda
Kwaiyo na mama Samia kawachukia hao vilaza wenu?Hizo ndo akili za kimasikini mlizoachiwa na lile shetani lenu la Chato.
Mliaminishwa kuwachukia tu ambao shetani lenu halikuwapenda
Mbona usitolee mfano wa Hayati Julius Nyerere?Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk,
Kama sie wa Afrika sio binadamu nini sasa? ??????Wewe ni mtu kutoka white race???π€Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Amepongeza utenguzi Tlaatlaah π ππKwan wewe ni January au Nape?? Wamekitengua, umesusa na praise na worship team... sasa Tlaatlaah atabaki mpweke