nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Punguza hisia kijana.Hizo ndo akili za kimasikini mlizoachiwa na lile shetani lenu la Chato.
Mliaminishwa kuwachukia tu ambao shetani lenu halikuwapenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza hisia kijana.Hizo ndo akili za kimasikini mlizoachiwa na lile shetani lenu la Chato.
Mliaminishwa kuwachukia tu ambao shetani lenu halikuwapenda
Nonsense!.Ki vipi. Kwani unaona sisis waafrica ni watu wa kawaida? Kama jpm ndo kabisa lilikuwa li dictator upcoming. Mungu akaamu kumuangamizia mbali asije chafua taifa lililokabidhiwa liwe chini ya ulinzi wa bikra maria na papa paul wa pili
ukimtoa Jpm nan anaonekana kuimudu hii nafas katika nchi yetu ?Ki vipi. Kwani unaona sisis waafrica ni watu wa kawaida? Kama jpm ndo kabisa lilikuwa li dictator upcoming. Mungu akaamu kumuangamizia mbali asije chafua taifa lililokabidhiwa liwe chini ya ulinzi wa bikra maria na papa paul wa pili
je ccmu wanaweza mshinikiza mama maana kaboronga kila sekta zaid ya ajira hana alilomzid JpmUmefuatilia habari kuona idadi ya senior democrats representative waliokuwa wanamsihi aachie last count ni 40.
Bado kuna donors ambao wali-commit kuchangia $90 million ya campaign ya uraisi, walisema awatatoa tena kama Biden atakuwa nominated.
Kulikuwa na pressure kubwa ya ndani ya chama chake na wafuasi wao, babu hana mental capacity ya kuendesha nchi. Sio kwamba kaachia tu kirahisi.
Sasa sijui Magufuli anaingia vipi wakati hakuna ushahidi wa yeye kutaka kuongoza maisha, angetaka ivyo watanzania wengi pia tungeunga mkono kazi ya maendeleo iendelee.
Nchi hii haijawahi kupata rais bogus kama alivyokuwa jpm. Hakujua anamuongoza nani na kwa nini. Urais aliupata kama zari bila kujiandaaukimtoa Jpm nan anaonekana kuimudu hii nafas katika nchi yetu ?
ntajie wap aliboronga mkuu huku ukimlinganisha na watangulizi wake au aliyekaimu nafasiNchi hii haijawahi kupata rais bogus kama alivyokuwa jpm. Hakujua anamuongoza nani na kwa nini. Urais aliupata kama zari bila kujiandaa
Kaboronga wapi. Taja hata sehemu moja halafu linganisha na kuboronga kwa jpm halafu fanya hitimisho. Mi naanza: jpm alivuruga private sector mama kairejesha na iko strong sasa hivije ccmu wanaweza mshinikiza mama maana kaboronga kila sekta zaid ya ajira hana alilomzid Jpm
Alivuruga private sector. Karibu maba k matano yalifunga biashara, hotels zikafunga biashara. Ukiend apale manzese enzi za jpm kila hotel ilikuwa imefungwantajie wap aliboronga mkuu huku ukimlinganisha na watangulizi wake au aliyekaimu nafasi
kwann unataka tukuamin ww ilihali alisema yeye mwenyew , hili ni ttzo la waswahili mnaish kwa nadharia kuliko uhalisia , nlikutana na mtu mmoja anakataa dawa za hospitalini kisa mchungaj kamwambia ttzo lke litaisha kwa maombi , ww ni kundi moja na huyo , unaamin dhahania kuliko unachokiona na kusikiaHuwa wanasemaga hivyohivyo. Hata kagame huwa anasemaga kuwa haongezi tena ila ukikaribia uchaguzi anakuja kivingine. Jpm maneno yake ilikuwa tofauti na vitendo ndo maana aliiba uchaguzi wote ili ahakikishe ccm ndo wanakuwa bungeni ili kulinda maamuzi yake
Matendo huongea kuliko mere words.kwann unataka tukuamin ww ilihali alisema yeye mwenyew , hili ni ttzo la waswahili mnaish kwa nadharia kuliko uhalisia , nlikutana na mtu mmoja anakataa dawa za hospitalini kisa mchungaj kamwambia ttzo lke litaisha kwa maombi , ww ni kundi moja na huyo , unaamin dhahania kuliko unachokiona na kusikia
Tanzania hakuna upinzani imara wa kuisumbua CCM hata iboronge vipi.je ccmu wanaweza mshinikiza mama maana kaboronga kila sekta zaid ya ajira hana alilomzid Jpm
unaishi China ?au na ww ndo wale wa kijanKaboronga wapi. Taja hata sehemu moja halafu linganisha na kuboronga kwa jpm halafu fanya hitimisho. Mi naanza: jpm alivuruga private sector mama kairejesha na iko strong sasa hivi
Nani kakwambia mikataba ni mibovu. Kwani we ni mwanasheria umeenda kuverify ukaona mikataba ni mobovu? Au umeambiwa na akina lisu tu na we ukamezaunaishi China ?au na ww ndo wale wa kijan
*Rushwa mf trafik safir dar to mbeya au dar to mwanza utaelewa ni mwendo wa buku 5 tu
*Mikataba mibovu ikiwemo bandari ( kabla haijapigwa vita na kuja kurekebishwa ) , Jpm alifuta au kurekebisha mikataba mibovu
* Mfumuko wa bei , Jpm alimaintain bei kwa miaka 5 ila huyu ndan ya miaka 3 bei zimepanda mara 2 mpk 3
* Miradi ya umma kufail mf TAZARA na TRC imefeli kbs yaan safar hazielewek siku hz na unakuta mtu umekata tiketi tyr tofaut na enzi za Jpm ambae alienda hadi kuongeza route ya Dar to Arusha
* Utendaj kaz mbovu wa watumishi wa umma , hii inaeleweka
* Mikopo isiyo na tija kbs kisa wamesikia taifa fulani linatafuta wakopaj bas nas tumo mf tumenunua magari ya wakuu wa wilaya kwa zaid 800B USD kutoka Japan ila tunaenda kukopa 80B USD kutoka Japan
*Upigaji , katika awamu ya mama upigaj umekithiri yaan kibanda cha mlinz imetumika 11M , kidaraja cha mbao eti 200M , kidimbwi cha ajabu eti 600M , Sgr wakaongeza 42B ili waipige CAG akastuka akawaweka wazi ila Mama hajawai mtumbua hata mmoja kati ya hizi skendo zote ,sijui nan mkaguzi wa mirad ya umma
*Uhalifu , katika awamu ya mama uhalifu umekithiri tena na vyombo vya dola vimehusishwa mf Sativa na wengine wengi tu
* Uvunjaji wa sheria , Mikataba mingi imepitishwa vichochoronu bila kulihusisha bunge pia watu wamenyimwa uhuru wa kukosoa mf kijana wa mbeya kapigwa jela miaka 2 kisa kuchoma picha yenye taswira ya Sa100 sijajua sheria ipi inasema mtu akichoma picha yenye taswira yang bas ni jela moja kwa moja
* Ukabila na Udini umeanza nyemelea nchi yetu kwenye awamu hii , mama ukimkosoa hakujibu ana timu zake zinakuja kukujibu wakiwepo masheikh Sa100 akiendelea hv ataacha doa baya sana kwa usalama wa nchi yetu akina ISIS , ALSHABAB , AL ANSAR NA HATA ADF usubir muunde line of weaknes kama hz kisha wanatia kambi kula mseleleko mliowapa , pia katika awamu hii ukimkosoa Sa100 unaitwa Sukumagang hii ni lugha ya kikabila sio wasukuma wote wanamuunga mkono mtangulizi wala wasukuma sio watu wa siasa kali ila tuna waamsha na hatujui madhara ya kuamsha kabila linaunda 1/4 ya population yetu hapa nchini yaan nazungumzia kabila lililounda mikoa ya Shinyanga , Simiyu , Geita , Mwanza , Tabora na baadhi ya wilaya nying nchin Tanzania ikiwemo Uvinza , Biharamulo , Bunda , Chunya , Kilombero , Mvomero , Kilosa , Bahi etc hii jamii tukiiundia dhana ya wao ni wapinzani wa serikali hii dhana ikitimia hatutaweza wadhibiti maana hakuna kabila Tz linachukua hata wilaya nzima achilia mbali Mkoa , haya ndo Sa100 anataka kutuletea kwa hiz kauli wafuasi wake wanaropoka bila kujua athari zake
MWISHO WA SIKU HATUNA RAIS TUNA PAMBIO KUTAKA TUMLINGANISHE NA JPM NI KOSA LA KIMAADILI , JPM ALIKUWA NA MAPUNGUF ILA MAPUNGUF YAKE YALIKUWA NA NIA NZUR KWA WATANGANYIKA WA KESHO NA SIO FAMILIA YAKE KAMA MAMA ABDULY ANAVYOMPA MWANAE KUFANYA MAJUKUMU YA UMMA ILIHALI YEYE ABDULY SIO MTUMISHI WA UMMA
Marekani wako mbele sanaKila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
kisa unasubir ccmu wakusomee mikataba basi unahisi wote tupo hivyo , kasome mapendekezo ya ule mkataba kabla akina Lissu awajapaza sauti , kwasasa tuna vijana wajinga sana kama wewe , kasome kuanzia article 1 mpk 30 sio unabishana vitu huvielewNani kakwambia mikataba ni mibovu. Kwani we ni mwanasheria umeenda kuverify ukaona mikataba ni mobovu? Au umeambiwa na akina lisu tu na we ukameza
Hakuna la ajabu kuteuliwa na kutenguliwaKwaiyo na mama Samia kawachukia hao vilaza wenu?