Mmeona sasa utofauti kati ya Uwajibikaji wa Wazungu na Waafrika? Kwetu Rais mpaka afie madarani vinginevyo hatoki!

Ki vipi. Kwani unaona sisis waafrica ni watu wa kawaida? Kama jpm ndo kabisa lilikuwa li dictator upcoming. Mungu akaamu kumuangamizia mbali asije chafua taifa lililokabidhiwa liwe chini ya ulinzi wa bikra maria na papa paul wa pili
Nonsense!.
 
ukimtoa Jpm nan anaonekana kuimudu hii nafas katika nchi yetu ?
 
je ccmu wanaweza mshinikiza mama maana kaboronga kila sekta zaid ya ajira hana alilomzid Jpm
 
ukimtoa Jpm nan anaonekana kuimudu hii nafas katika nchi yetu ?
Nchi hii haijawahi kupata rais bogus kama alivyokuwa jpm. Hakujua anamuongoza nani na kwa nini. Urais aliupata kama zari bila kujiandaa
 
Nchi hii haijawahi kupata rais bogus kama alivyokuwa jpm. Hakujua anamuongoza nani na kwa nini. Urais aliupata kama zari bila kujiandaa
ntajie wap aliboronga mkuu huku ukimlinganisha na watangulizi wake au aliyekaimu nafasi
 
je ccmu wanaweza mshinikiza mama maana kaboronga kila sekta zaid ya ajira hana alilomzid Jpm
Kaboronga wapi. Taja hata sehemu moja halafu linganisha na kuboronga kwa jpm halafu fanya hitimisho. Mi naanza: jpm alivuruga private sector mama kairejesha na iko strong sasa hivi
 
ntajie wap aliboronga mkuu huku ukimlinganisha na watangulizi wake au aliyekaimu nafasi
Alivuruga private sector. Karibu maba k matano yalifunga biashara, hotels zikafunga biashara. Ukiend apale manzese enzi za jpm kila hotel ilikuwa imefungwa
 
kwann unataka tukuamin ww ilihali alisema yeye mwenyew , hili ni ttzo la waswahili mnaish kwa nadharia kuliko uhalisia , nlikutana na mtu mmoja anakataa dawa za hospitalini kisa mchungaj kamwambia ttzo lke litaisha kwa maombi , ww ni kundi moja na huyo , unaamin dhahania kuliko unachokiona na kusikia
 
Matendo huongea kuliko mere words.
 
je ccmu wanaweza mshinikiza mama maana kaboronga kila sekta zaid ya ajira hana alilomzid Jpm
Tanzania hakuna upinzani imara wa kuisumbua CCM hata iboronge vipi.

Wana luxury ya kumpa mtu yeyote kuendesha nchi kwa sasa kutokana na upinzani dhaifu. Option hiyo hakuna kwa nchi zenye ushindani mkali wa siasa.
 
Kaboronga wapi. Taja hata sehemu moja halafu linganisha na kuboronga kwa jpm halafu fanya hitimisho. Mi naanza: jpm alivuruga private sector mama kairejesha na iko strong sasa hivi
unaishi China ?au na ww ndo wale wa kijan

*Rushwa mf trafik safir dar to mbeya au dar to mwanza utaelewa ni mwendo wa buku 5 tu
*Mikataba mibovu ikiwemo bandari ( kabla haijapigwa vita na kuja kurekebishwa ) , Jpm alifuta au kurekebisha mikataba mibovu

* Mfumuko wa bei , Jpm alimaintain bei kwa miaka 5 ila huyu ndan ya miaka 3 bei zimepanda mara 2 mpk 3

* Miradi ya umma kufail mf TAZARA na TRC imefeli kbs yaan safar hazielewek siku hz na unakuta mtu umekata tiketi tyr tofaut na enzi za Jpm ambae alienda hadi kuongeza route ya Dar to Arusha

* Utendaj kaz mbovu wa watumishi wa umma , hii inaeleweka

* Mikopo isiyo na tija kbs kisa wamesikia taifa fulani linatafuta wakopaj bas nas tumo mf tumenunua magari ya wakuu wa wilaya kwa zaid 800B USD kutoka Japan ila tunaenda kukopa 80B USD kutoka Japan

*Upigaji , katika awamu ya mama upigaj umekithiri yaan kibanda cha mlinz imetumika 11M , kidaraja cha mbao eti 200M , kidimbwi cha ajabu eti 600M , Sgr wakaongeza 42B ili waipige CAG akastuka akawaweka wazi ila Mama hajawai mtumbua hata mmoja kati ya hizi skendo zote ,sijui nan mkaguzi wa mirad ya umma

*Uhalifu , katika awamu ya mama uhalifu umekithiri tena na vyombo vya dola vimehusishwa mf Sativa na wengine wengi tu

* Uvunjaji wa sheria , Mikataba mingi imepitishwa vichochoronu bila kulihusisha bunge pia watu wamenyimwa uhuru wa kukosoa mf kijana wa mbeya kapigwa jela miaka 2 kisa kuchoma picha yenye taswira ya Sa100 sijajua sheria ipi inasema mtu akichoma picha yenye taswira yang bas ni jela moja kwa moja

* Ukabila na Udini umeanza nyemelea nchi yetu kwenye awamu hii , mama ukimkosoa hakujibu ana timu zake zinakuja kukujibu wakiwepo masheikh Sa100 akiendelea hv ataacha doa baya sana kwa usalama wa nchi yetu akina ISIS , ALSHABAB , AL ANSAR NA HATA ADF usubir muunde line of weaknes kama hz kisha wanatia kambi kula mseleleko mliowapa , pia katika awamu hii ukimkosoa Sa100 unaitwa Sukumagang hii ni lugha ya kikabila sio wasukuma wote wanamuunga mkono mtangulizi wala wasukuma sio watu wa siasa kali ila tuna waamsha na hatujui madhara ya kuamsha kabila linaunda 1/4 ya population yetu hapa nchini yaan nazungumzia kabila lililounda mikoa ya Shinyanga , Simiyu , Geita , Mwanza , Tabora na baadhi ya wilaya nying nchin Tanzania ikiwemo Uvinza , Biharamulo , Bunda , Chunya , Kilombero , Mvomero , Kilosa , Bahi etc hii jamii tukiiundia dhana ya wao ni wapinzani wa serikali hii dhana ikitimia hatutaweza wadhibiti maana hakuna kabila Tz linachukua hata wilaya nzima achilia mbali Mkoa , haya ndo Sa100 anataka kutuletea kwa hiz kauli wafuasi wake wanaropoka bila kujua athari zake

MWISHO WA SIKU HATUNA RAIS TUNA PAMBIO KUTAKA TUMLINGANISHE NA JPM NI KOSA LA KIMAADILI , JPM ALIKUWA NA MAPUNGUF ILA MAPUNGUF YAKE YALIKUWA NA NIA NZUR KWA WATANGANYIKA WA KESHO NA SIO FAMILIA YAKE KAMA MAMA ABDULY ANAVYOMPA MWANAE KUFANYA MAJUKUMU YA UMMA ILIHALI YEYE ABDULY SIO MTUMISHI WA UMMA
 
Nani kakwambia mikataba ni mibovu. Kwani we ni mwanasheria umeenda kuverify ukaona mikataba ni mobovu? Au umeambiwa na akina lisu tu na we ukameza
 
Marekani wako mbele sana
 
Nani kakwambia mikataba ni mibovu. Kwani we ni mwanasheria umeenda kuverify ukaona mikataba ni mobovu? Au umeambiwa na akina lisu tu na we ukameza
kisa unasubir ccmu wakusomee mikataba basi unahisi wote tupo hivyo , kasome mapendekezo ya ule mkataba kabla akina Lissu awajapaza sauti , kwasasa tuna vijana wajinga sana kama wewe , kasome kuanzia article 1 mpk 30 sio unabishana vitu huvielew
 
Syo Rais ni hawa wenyeviti wa chadema wa Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…