Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hata mimi najua hilo, kwa dalili alizokuwa ameanza kuzionyesha, mala ohoo hivi nikitoka nani atayaendeleza haya ninayofanya?!! Unadhani zile kelele za wabunge zilikuwa za bure?? Na kufanya bunge liwe la chama kimoja tu ili aje kupata 3/4 ya wabunge wa kusema wanataka mabadiriko ya katiba. Mungu fundi.Wehu wake ni kujifanya ana uhakika Magufuli asingetoka madarakani...
Magufuli aliwahi kutamka hilo lini?
Bado unapambana na marehemu?,,khanithi weweKila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Yaani ni kama vile humuoni Mbowe anavyong’anga’nia kiti😎Ki vipi. Kwani unaona sisis waafrica ni watu wa kawaida? Kama jpm ndo kabisa lilikuwa li dictator upcoming. Mungu akaamu kumuangamizia mbali asije chafua taifa lililokabidhiwa liwe chini ya ulinzi wa bikra maria na papa paul wa pili
Ila sio fundi bomba wala sio fundi cherehani msimfanishe Mungu na mafundi baiskeli mnakufuruMungu fundi.
Ulidltaka mke wake alalamike hadharanTrump kwa Kamala yaan mapema sana Trump anaingia Ikulu Kamala kaja na slogan ya kuonewa huruma ya chimbuko lake yaan ni mchanganyo wa muafrika na mueshia ndio aingie ikulu pia anapiga madongo Trump kwamba anawanyanyasa Wanawake wapi aliposikia mke wa Trump akilalamika kunyanyaswa?
Marekani ni nchi ya watu waliochanganyika, si ya wazungu.Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Yes of course, mke wa Trump alalamike hadharani kwamba huyu mwamba nimemzalia watoto Ila still bado alikua ananinyanyasa kingono anachapa makofi matako yangu km yule Babu wa tiktokUlidltaka mke wake alalamike hadharan
Pumbu jeYes of course, mke wa Trump alalamike hadharani kwamba huyu mwamba nimemzalia watoto Ila still bado alikua ananinyanyasa kingono anachapa makofi matako yangu km yule Babu wa tiktok
Kuchanyikiwa maana yake wamarekani sio watu wa kutoka Nchi moja ni mvurugano wa watu wa mataifa mbalimbali, swali je wamerekani OG wa kina nani?Marekani ni nchi ya watu waliochanganyika, si ya wazungu.
Na hata hiyo dhana ya "wazungu" ni ya kisiasa zaidi kuliko kisayansi.
Queen Elizabeth alikufa akiwa house girl ama mam ntilie?Ushahidi gani. Au unataka mpaka uione video ya joe biden akisema hatagombea?
Wamarekani original ni Native Americans, wale waliokuwa wakiitwa Red Indians, hao ndio walikuwa hapo Marekani originally.Kuchanyikiwa maana yake wamarekani sio watu wa kutoka Nchi moja ni mvurugano wa watu wa mataifa mbalimbali, swali je wamerekani OG wa kina nani?
Pumbuje huyu nadhani atakua ni mgombea mwenza wa Kamala km sijakosea km nimekosea naomba kusahihishwa anaitwa Pumbuje nani vile?Pumbu je
Kwa Magufuli ni ngum kuprove hilo,maana alifariki kipindi cha pili,kumbuka hata Kikwete alizushiwa maneno ya hvyo na akatoka madarakani.Toa mfano halisi wa mtu aliyeng'ang'ania madaraka na hataki kuwapisha wenzake.Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Wazungu ni binadamu fake, huwezi kuwafananisha na waafrika ambao ni binadamu asilia.Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Sasa hivi wanaishi Wapi Hawa huko Marekani au wamehamia pembezoni mwa Marekani km Wazaramo wanavyoikimbia Dar?Wamarekani oroginal ni Native Americans, wale waliokuwa wakiitwa Red Indians, hao ndio walikuwa hapo Marekani originally.
Wengine wote wahamiaji.
Wametokana na muunganiko wa Chromosome zipi hao Wazungu sio X na Y?Wazungu ni binadamu fake, huwezi kuwafananisha na waafrika ambao ni binadamu asilia.
Mugabe miaka 91 mixer kuanguka ovyo jukwaani afya mbovu lakini bado alikuwa anataka kuendelea kutawalaUna akili kweli wewe au una bwana mzungu? Unadhani mazingira yanafanana au hali ya Biden ni sawa na Kagame au Museveni