Mmeona sasa utofauti kati ya Uwajibikaji wa Wazungu na Waafrika? Kwetu Rais mpaka afie madarani vinginevyo hatoki!

Chura Kiziwi keshaonja utamu wa Caviar halafu umwambie kirahisi tu aachie madaraka. Haipo hiyo😂😂
 
Wehu wake ni kujifanya ana uhakika Magufuli asingetoka madarakani...

Magufuli aliwahi kutamka hilo lini?
Ni kweli hata mimi najua hilo, kwa dalili alizokuwa ameanza kuzionyesha, mala ohoo hivi nikitoka nani atayaendeleza haya ninayofanya?!! Unadhani zile kelele za wabunge zilikuwa za bure?? Na kufanya bunge liwe la chama kimoja tu ili aje kupata 3/4 ya wabunge wa kusema wanataka mabadiriko ya katiba. Mungu fundi.
 
Trump kwa Kamala yaan mapema sana Trump anaingia Ikulu Kamala kaja na slogan ya kuonewa huruma ya chimbuko lake yaan ni mchanganyo wa muafrika na mueshia ndio aingie ikulu pia anapiga madongo Trump kwamba anawanyanyasa Wanawake wapi aliposikia mke wa Trump akilalamika kunyanyaswa?
 
Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.

Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.

Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!

I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.

Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Bado unapambana na marehemu?,,khanithi wewe
 
Ki vipi. Kwani unaona sisis waafrica ni watu wa kawaida? Kama jpm ndo kabisa lilikuwa li dictator upcoming. Mungu akaamu kumuangamizia mbali asije chafua taifa lililokabidhiwa liwe chini ya ulinzi wa bikra maria na papa paul wa pili
Yaani ni kama vile humuoni Mbowe anavyong’anga’nia kiti😎
 
Trump kwa Kamala yaan mapema sana Trump anaingia Ikulu Kamala kaja na slogan ya kuonewa huruma ya chimbuko lake yaan ni mchanganyo wa muafrika na mueshia ndio aingie ikulu pia anapiga madongo Trump kwamba anawanyanyasa Wanawake wapi aliposikia mke wa Trump akilalamika kunyanyaswa?
Ulidltaka mke wake alalamike hadharan
 
Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.

Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.

Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!

I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.

Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Marekani ni nchi ya watu waliochanganyika, si ya wazungu.

Na hata hiyo dhana ya "wazungu" ni ya kisiasa zaidi kuliko kisayansi.
 
Ulidltaka mke wake alalamike hadharan
Yes of course, mke wa Trump alalamike hadharani kwamba huyu mwamba nimemzalia watoto Ila still bado alikua ananinyanyasa kingono anachapa makofi matako yangu km yule Babu wa tiktok
 
Pumbu je
 
Marekani ni nchi ya watu waliochanganyika, si ya wazungu.

Na hata hiyo dhana ya "wazungu" ni ya kisiasa zaidi kuliko kisayansi.
Kuchanyikiwa maana yake wamarekani sio watu wa kutoka Nchi moja ni mvurugano wa watu wa mataifa mbalimbali, swali je wamerekani OG wa kina nani?
 
Wamarekani original ni Native Americans, wale waliokuwa wakiitwa Red Indians, hao ndio walikuwa hapo Marekani originally.

Wengine wote wahamiaji.
 
Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.

Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.

Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!

I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.

Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Kwa Magufuli ni ngum kuprove hilo,maana alifariki kipindi cha pili,kumbuka hata Kikwete alizushiwa maneno ya hvyo na akatoka madarakani.Toa mfano halisi wa mtu aliyeng'ang'ania madaraka na hataki kuwapisha wenzake.
 
Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.

Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.

Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!

I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.

Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Wazungu ni binadamu fake, huwezi kuwafananisha na waafrika ambao ni binadamu asilia.
 
Wamarekani oroginal ni Native Americans, wale waliokuwa wakiitwa Red Indians, hao ndio walikuwa hapo Marekani originally.

Wengine wote wahamiaji.
Sasa hivi wanaishi Wapi Hawa huko Marekani au wamehamia pembezoni mwa Marekani km Wazaramo wanavyoikimbia Dar?
 
Una akili kweli wewe au una bwana mzungu? Unadhani mazingira yanafanana au hali ya Biden ni sawa na Kagame au Museveni
Mugabe miaka 91 mixer kuanguka ovyo jukwaani afya mbovu lakini bado alikuwa anataka kuendelea kutawala

Ifikie kipindi tuwe wakweli kuna kitu hakipo sawa kwa Sisi waafrika

Kuna upuuzi mwingi Sana unaoendelea kwenye Jamii zetu na hatuchukui hatua zozote kuukomesha
 
Back
Top Bottom