Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Kiukweli kwa codes ndogo ndogo wala skuizi watu hawaumizi kichwa. We ieleze unachotaka inakupa code snippet unaenda ku paste mahala husika mambo yanaenda.

Niliwahi jaribu hii:


Ikanijibu hivi:
Here is the complete JavaScript code that you can use to change the color of the HTML span elements based on the value inside the elements:
Kiukweli hii kitu inatisha mana hilo jibu ni jibu zuri na moja ya njia za kufikia lengo la swali la hapo juu. Ni dhahiri writing codes inaenda kuathiriwa sana na ChatGPT.
 
Not only code, inafanya kazi nzuri sana in algorithms pia, kazi nyingi tunazofanya sasa zinaenda kupotea, lakini experience inaonyesha new tech zinakuja na kazi nyingine mpya nyingi tuu za high quality, soon tutajua
 
Kuna advertisement ya SADC kuhusu uandishi wa insha kwa hingh learning university nataka nitumie chat gpt kuandika then ni submit
 
Hii itatusaidia wanaume kuepukana na hawa akina haki sawa!!!
 
Habarini wan JF,

Hakika tekinolojia imekuwa sana. Huu mfumo wa akili bandia (Artifial intelligence) uliotengenezwa na Microsoft (Chat GPT) uko very clear. Nimekuwa nikiutumia Mara nyingi Sana. Sasa leo nikajaribu kuuliza iniandikie nyimbo kuhusiana na Rais wetu mpendwa Marehemu John Pombe Magufuli, na HAYA ndio majibu yake;.....

"Write me a song about president John Magufuli"

Verse 1:
Tanzania mourns the loss of a leader, A man who stood tall, a true believer, In his country, his people, and his cause, A leader who never paused.

Chorus:
John Magufuli, a name we won't forget, A legacy that we will cherish and respect, A man of action, a man of might, A true champion, in our sight.

Verse 2:
He came to power with a mission in mind, To fight corruption, to serve his kind, To make Tanzania great, and strong, A vision that he carried along.

Chorus:
John Magufuli, a name we won't forget, A legacy that we will cherish and respect, A man of action, a man of might, A true champion, in our sight.

Verse 3:
He worked hard, and he worked smart, His policies, tore corruption apart, He built roads, he built bridges, He brought change, he brought riches.

Chorus:
John Magufuli, a name we won't forget, A legacy that we will cherish and respect, A man of action, a man of might, A true champion, in our sight.

Verse 4:
He cared for his people, and he showed it, With his actions, he truly proved it, He fought for the poor, the weak, and the small, A true leader, he gave it his all.

Chorus:
John Magufuli, a name we won't forget, A legacy that we will cherish and respect, A man of action, a man of might, A true champion, in our sight.

Outro:
John Magufuli, rest in peace, Your spirit, your vision, will never cease, We'll carry on, we'll carry your torch, For Tanzania, we'll march.

Kwa wale wasiolelewa lugha nitafsiri baadae japo kwa uelewa mdogo wa kingereza....
 
Udhaifu wa hii haitoa matukio ya kuanzia 2022,ukiiambia tetemeko la ardhi la Syria na uturuki haijui,imefail
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…