Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Ni nini hyo kwa sisi ma ngumbaru wa technology tujue. Ni program au robot unalinunua?
 
Mfano business plan ukitaka unaipata so unadhani ikiwa watu wote wanajua kutumia nani atahitaji kuandikiwa business plan
Chatgpt inakuandikia kutokana na info unazoifeed. Hivyo ili upate kitu chenye quality lazima uwe na idea ya unachokitaka. Inarahisisha mambo kwa mtu anayejua. Na si kila mru ana idea ya kaundaa business plan.
 
Sasa hivi watu wengi wanazidi kuwa na uelewa hivo ni rahisi sana we unaandika unachotaka inakupa
 
AI inaua ajira zote from graphics design, business consulting, business plan and proposal writing. Etc
Hapo sio kweli business consulting haiwezi fanywa na AI, hizo financial projections azifanye gpt cha masihara wewe
 
AI inaua ajira zote from graphics design, business consulting, business plan and proposal writing. Etc
Nadhani haitauwa ajira zaidi itaboresha na kuzalisha ajira zingine, ChatGPT is just a tool kama zilivyo AI tools zingine,human intelligence lazima itumike ili kazi ikamilike
 
Ukiiuliza mara ya pili inatunga tofauti.
?
Binadamu akitinga nyimbo kuhusu magufuli xitapatikana zaidi ya mia je roboti litaweza kutunga hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…