Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Ukirudia uzi wangu utaelewa kuhusu AI.Is just if else,while,for each statement.
Hakuna ugunduzi mkubwa.
Kazi kubwa walioifanya Microsoft ni kukusanya data base ya kila kitu na kuziundia arguments. Hio system itakuwa na ma server ya kutosha.
Hata sisi bongo kama tuna mtaji wa kukusanya data tunaunda hio AI
nimesoma hadi hapo ulipoanza kusema rais marehem........ umenichefua kabisa Kuendelea kusoma hayo ya mbelenikuhusiana na Rais wetu mpendwa Marehemu
Nimeiuliza swali hili "Why magufuli considered as dictator"Hakika tekinolojia imekuwa sana. Huu mfumo wa akili bandia (Artifial intelligence) uliotengenezwa na Microsoft (Chat GPT) uko very clear. Nimekuwa nikiutumia Mara nyingi Sana. Sasa leo nikajaribu kuuliza iniandikie nyimbo kuhusiana na Rais wetu mpendwa Marehemu John Pombe Magufuli, na HAYA ndio majibu yake;.....
Yenyewe ni Automatic ukiandika kiswahili itakujibu kiswahili ,ukiandika kihindi itakujibu kihindi ,ukiandika kabila lolote la dunia itakujibu hvyo hvyoHaina Kiswahili kubadirisha, je inapatikana wapi!?
Je ipo play store,Yenyewe ni Automatic ukiandika kiswahili itakujibu kiswahili ,ukiandika kihindi itakujibu kihindi ,ukiandika kabila lolote la dunia itakujibu hvyo hvyo
Chat GPT og ni moja tu, hizo nyingine zinazokuomba sana hela achana nazo ni fake, wahuni washajua kuna vichwa panzi wataingia mkenge tu🤣🤣Nimeipenda, nimeidownload,
Sema nyingi zinataka hela, hela, hela, pesaaaaa baba, pesaaa
Ndio ipo lakini ya play store ni ya kulipia ila ya kwenye web sio ya kulipiaJe ipo play store,
Technology inakuja kurahisha maisha sio kulemazaHii Chat GPT itawalemaza hasa wanafunzi wa vyuoni kwenye final year projects zao. Nikikumbuka sisi kuiprogram Arduino kwa C++ tulihangaika sana,ila kama ingekuwepo enzi ile nahisi ile project tungemaliza semester ya kwanza.
Kwa jinsi nionavyo italemaza hasa wanafunzi wa vyuoni ila kwa wafanyakazi ambao wapo kwenye industry ni sawa itawa rahisishia kazi zao.Technology inakuja kurahisha maisha sio kulemaza
Hii Chat GPT itawalemaza hasa wanafunzi wa vyuoni kwenye final year projects zao. Nikikumbuka sisi kuiprogram Arduino kwa C++ tulihangaika sana,ila kama ingekuwepo enzi ile nahisi ile project tungemaliza semester ya kwanza.
Vyuo vyetu havipo dynamic, tatizo linaanzia hapo.Vyuo wabadilishe mitaala. Huwezi komalia mtu a crame coding wakati soon coding itakuwa ni kazi ya computer.
Watu wafundishwe problems solving skills ili waweze ku instruct computer izalishe proper codes.
Pia watu kila wanacjofundishwa kiwe ki commercial zaidi. Haileti mantiki kuwa na growing number of graduates ambao ni tegemezi.
Kuna kipindi ilikuwa namba za simu unaandika kwenye notebook au ushike kichwani. Ku crame namba nyingi ilikuwa pia ni utabe. Mambo hubadilika for convenience.
Shida ni mfumo upo so complex. Mtu kufikia hatua ya kuwa na sauti ya kubadili mitaala unakuta nayeye kashapitwa na wakati.Vyuo vyetu havipo dynamic, tatizo linaanzia hapo.
Google wanatukia AI nyingi za aina tofauti tofauti (Google lense, multisearch, etc) Na sasa wamekuja na Bard ambayo hawajaiachia kwa watu wengi.Mliosema google anaachia AI na yeye vipi? Tayari au
Partly uko sahihi, likini haiwezi kumreplace binadamu,Miaka ya nyuma wasomi,wafanyakazi,watafiti baada ya teknolojia ya internet kuimalika sehemu kubwa ya kutafuta habari kwa wakati mmoja na kutatua tatizo ilikuwa search engine kama yahoo na ilipofika google ndio ikaleta msaada mkubwa.
Tuje kwenye hili la chatGPT .tanzania tuna kuwa nyuma sana kuhusu teknolojia ila teknolojia hii imefungua mwangaza mkubwa au kulemeza kijana sasa kwa kila kitu yani imebaki kiodogo mfumo kuwa unaongea ukapiga naye story,ikakutatulia tatizo mubashara.
Kwa chatGPT hakuna lisilowezekana tena linafanya kama binadamu ijalishi kujibu maswali,kusolve kazi yoyote.
Tukiendelea hivi zile PHD zitashuka maana hakuna kuumiza kichwa.
Keo ni mesolve maswali mengi kwenye interview ya online
Kwa Sasa knowing how to ask questions ndio the most valuable skills unazotakiwa kuwa nazo ili uendane na AI technology.Chatgpt inakuandikia kutokana na info unazoifeed. Hivyo ili upate kitu chenye quality lazima uwe na idea ya unachokitaka. Inarahisisha mambo kwa mtu anayejua. Na si kila mru ana idea ya kaundaa business plan.
wakati Google Translate inatoka , 2006 , wadau wakasema zile kazi za translations zingekufa , wadau wanakunja $$ huko Upwork kama kawaidaAI inaua ajira zote from graphics design, business consulting, business plan and proposal writing. Etc