Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Ndugu mbona unaandika kana kwamba wote hapa tumeamkia kwako na tunaishi kwako..,!? Umeipata bahati ya kuijua huo mfumo tulia Chini wajuze na wenzako huo mfumo ni nini, kwa nini serikali kupitia tcra upige marufuku huo mfumo!? And besides huo mfumo kama unamanufaa why upigwe marufuku??
 
Nimecheka sana
 

Mambo yote uliyoelezea ni positive impact ya mfumo huo, hebu sasa elezea madhara yake ni yapi hasa ili hata hao TCRA wakipita humu waone hoja yako kwa nini unataka waufungie.
 
Teknologia haizuiliki
 
Inafanyaje kazi mkuu.
Thesis unawezaje kuandaliwa kirahisi hivyo!
 
Web za por' wamezuia hii itawashinda??
tofautisha bangi na panadol mkuu, porn ni bangi hizi ni panadol, unanikumbusha history ya industry revolution uingereza wafanyakazi walivyokua wakiharibu mashine eti ndio zinawafanya wao wapoteze kazi wakishindwa kuelewa yale ni matokeo ya technological advancement, niishie hapo mkuu!
 
Wakati dunia inaenda mbele unataka sisi tubaki kwenye stone age? Hebu tuache tukakabiliane na changamoto mpya.
Dunia ya leo haitaki watu waoga na goigoi, inataka watu hodari na majasiri, risk takers.

ONLY THE FITTEST OF THE FITTESTS SHALL SURVIVE
 
In uwezo kwa ku summarise paper na ku avoid plagiarism
Mkuu mbona tools za kuondoa plagiarism zipo nyingi sana? Pia zipo site kibao tu ambazo unaweza ku summarise paper online. Hiyo app itakuwa ime simplify tu lakini sioni cha ziada.
 
Watu mtaomba serikali i regulate mpaka shughuli za faraghani majumbani mwenu.
 
Kwahiyo Tanzania iwe kijiji kinachojitenga duniani. Unahisi kwa utandawazi huu serekali inaweza piga marufuku vitu ka hizi?

Alafu unasema siku watu wabaya wakiupata na kuutumia vibaya duniani hapata kalika, sasa kitu cha kidunia unatakaje tcra wapige marufuku au una maana tcra wauzuie kutumika dunia nzima?
 
Hahahaah kwa kweli afafanue vizuri
 
Wao hao hao Open Ai wanatengeneza mfumo wa kutambua kitu kilichoaneikwa na chargpt na pia kuna kijana asha design mmoja wa kutambua kitu kilichokuwa generated na huo mfumo.
Wao Open Ai wanasema wanatafuta jinsi ya kuweka digital signature kwenye vitu vilivyokuwa generated na chatgpt
 
Chat bot ni software. Inayoweza kuandika esaay au presentation unaipa details tu, kuna jamaa alikuja na uzi humu akielezea kwa mifano , alipa chatbot majina yake na elimu yake ikaandika bonge la CV !!
Halafu toka iwe introduced sidhani kama mwezi umepita
 
Mfumo unapingwa kwa mfumo, nadhani hata vyuo vikuu viunde mifumo ya ku-detect plagialism
 
Wako humu JamiiForums

Tafuta vizuri tu.... kuna maayidi ambazo zilivyoingia Kiswahili kilikuwa taabu, sasa hata cha mtaani wanajua! Wamo humu manake huku kwenye bara letu ndio sehemu kubwa ya majaribio kwa sababu tu sheria zetu zinavikomo, hakuna oversight!

Nape anajichangia tu kutoka kwenye bajeti aliyoomba lakini unafuu hauonekani, Hatusikii Serikali ikikemea majukwa makubwa, au Mitandao mikubwa ya kijamiii kwa kusambaza Sumu.

Ni hatari, sana....na ndio kazi kubwa ambayo naona inafanyika hapa, mfano mdogo ni wale ambao kila ukiweka jina la Hayati Raisi basi yatakayoshushwa ni ule uongo uliolishwa boti hilo.

Asante kwa taarifa.
Kitaeleweka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…