Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Arrow haiko active. Insishia hapa
ScreenCaptures_2023-03-31-171610.png
 
Yaan, kwa mwanangu kazi ilikuwa ni mwendo wa kuchagua namba ya option anayotaka then wanaenda huko (mie sipo)
.
Alafu kitu kimoja mwana anasisitizia....

"Sio lazima story iwe ya kutisha...
ChatGPt anaweza kutengeneza story na missions kulingana na maelekezo yako, ukimwambia unataka style ya comedy atakupeleka huko huko, ukimwambia unataka uwe superstar character(wazee wa siteringi) basi atakupeleka mpaka kwenye tuzo za grammy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]"

Tazama pics zifuatazo... [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2572259
Kwa leo acha niishie hapa [emoji2][emoji2]

Maana kuna wakulungwa wameshawaambia Jf wanifute...daahh

Wabongo chuki nyingi ile mbaya

Jamani...eehhh

Alamsiki,....bana nisijepigwa ban bure....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20230331_160725.jpg
 
Back
Top Bottom