TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

mkumbukeni Mungu mngali hai. imagine, unamiliki baa za malaya, walevi, unakufa bila kutubu, unapokelewa motoni moja kwa moja. unaungua milele. msije mkaja kusema hatukuwaambia. andaa maisha yako ya kesho, ya sasa yanapita.
Mkuu ulijua je kama hajatubu, unataka kuchukua majukumu ya Mungu sijui walokole mkoje?
 
Tatizo nini hasa?
Pombe mtumish

Nakusihi sana kuna life style flan hivi kwenye maisha haifai kabisa

Hata kuchomana visu na kuuana dodoma ndo inaongoza

Dodoma ni mkoa wenye vijana wajinga sana

Mtu anaweza kukuta umesimama na mdada huna hili wala lile unashangaa tu una kisu cha tumbo

Unakuta kijana alikuwa na demu wake miaka miwili iliyopita wakatengana kesho na kesho kutwa wewe ukianzisha naye mahusiano anaanza kukuwinda huyo x wake bila sababu yeyeto
 
Hili lipo hadi huko vijijini.

Mtu anamuacha mke Kongwa anaenda Kiteto anaoa tena. Halafu anaenda Kilindi anaoa tena.

Baadaye sana anarudi Kongwa anakuta yule mke wa kwanza ameolewa.

Anaanza kupambana na huyo mwanaume mpya wa mkewe.
 
Asante Detective J
Iliyumba ikagonga nguzo kisha ikabiringika kule barabara ya kwa waziri mkuu alikokuwa anaelekea kwake.
Nahisi alichukua gari ya rafiki yake kwa maana yeye binafsi ana gari 2, Harrier new model na Prado.

Ila kifo kikikuita, haijalishi uko na gari yako au ya mwenzako.
Nawaza je, Chako ni chako bar pamoja na ya kule Iringa road (The Avec) zitapata wasimamizi wazuri, maana mdogo wake wa tumbo moja Richard ambae alikuwa anamfundisha kazi, huu mzigo kwake utakuwa mkubwa sana, sidhani kama atauweza, labda aache pombe🍺🥃
God bado alikuwa anapambania ndoto zake kijana wa watu.

Wahudumu wengi walioko sijui Platinum, Rainbow, Bambalaga, Waswano, The Bistro... wote walipitia hapo Chako ni chako (kabla ya God kumiliki)
Kijana alikuwa anapambania ndoto zake ww!!!!..... huna zako.......
 
Back
Top Bottom