TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Hili swali linahitaji majibu kwa kweli
For the first time naenda chako ni chako ni miaka kama15 sasa dogo alianza biashara lini au aliwahi mvua mtu hivi karibuni au family business
Iko hv, jina Chako ni Chako ni la zamani sana, kinachofanyika ni kuwa mtu anakodi eneo kwa kutumia jina hilohilo jamani.
Wamepita wamiliki kama 3 hv ila walikuwa ni watu wazima kiasi/wazee, na sasa pamekuwa pa moto kutokana na kumilikiwa na kijana God, God ndio aliifufua Chako ni Chako upya na imekuwa maarufu mpaka leo.
Nimeeleweka au bado?
 
Good!!👌
 
Mungu ampumzishe kwa amani, miaka hiyo kila mwisho wa mwezi baba alikuwa akitununulia kuku wa chako ni chako. Kweli kila kitu kitapita ila tusiache kumrudia Mungu wetu mala kwa mala.
Ila kwa kipindi hiki mtu akikwambia anaenda Chako ni Chako basi ujue anakuja eneo hili maana kuna wauza kuku kama 15 hv, so anaweza sema katoka na kuku wa Chao kumbe kanunua hapo kwa Mashaka au kwa Dida
 
Back
Top Bottom