TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Ni kweli naikumbuka hii, iliondoka na dada yao, haji akajeruhiwa.
Akajeruhiwa mguu, yule dada alikuwa storekeeper na Madam wa kule ya Area C, ila kidomodomo chake ndo kilimponza.
Anamzuiaje jamaa kuondoka na demu (muhudumu) wakati keshamnywea sana na kumlia sana, akaona isiwe kesi kula chuma hiko.
Nasi wadada tujifunze, kama hatutaki kutoa mbususu tusile vya wanaume wa Arusha (mgodini)
 
Mbususu is overrated. Kama unakataa, chungulia hilo shimo na utupe mrejesho
 
Akajeruhiwa mguu, yule dada alikuwa storekeeper na Madam wa kule ya Area C, ila kidomodomo chake ndo kilimponza.
Anamzuiaje jamaa kuondoka na demu (muhudumu) wakati keshamnywea sana na kumlia sana, akaona isiwe kesi kula chuma hiko.
Nasi wadada tujifunze, kama hatutaki kutoa mbususu tusile vya wanaume wa Arusha (mgodini)
DAh ! Hatari sana
 
Wewe ni nani mpaka uchukuwe nafasi ya Mungu ya kuhukumu? Umejaa chuki na ubinafsi sana. Hivi unajua mtu anayejiita kiongozi wa dini anaweza kuwa anaharibu jamii kuliko mwenye bar?
Dini zimetuharibu akili sana Waafrika, hadi kuingilia hukumu zisizotuhusu kama vile sisi ni Malaika....!?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Iko hv, jina Chako ni Chako ni la zamani sana, kinachofanyika ni kuwa mtu anakodi eneo kwa kutumia jina hilohilo jamani.
Wamepita wamiliki kama 3 hv ila walikuwa ni watu wazima kiasi/wazee, na sasa pamekuwa pa moto kutokana na kumilikiwa na kijana God, God ndio aliifufua Chako ni Chako upya na imekuwa maarufu mpaka leo.
Nimeeleweka au bado?
Kama amekodi inafaa kuitwa mmiliki au muendeshaji?!! Ok hata hivyo ufafanuzi huu ni muhimu
 
Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.

Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.

Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705
Duuu
 
Inawezekana ni ukweli ndo hulika ya huko kibosho kuna mzee mmoja namfahamu shughuli zake anafanya mwenyewe yeye meneja, yeye cashier, yeye supervisor, yeye auditor yaani ni full tafrani mkoloni huyo.
Kama una point vile. Hapo dom karibia na malaika pub kuna mzee alikuwa anamiliki lodge hapo jirani , naye alikuwa ni one man show. Alifariki akiwa ndani ya gari . Nadhani alifia usingizini akiwa amejipumzisha ndani ya gari.
 
Ila watanzania Jamani!!!

Yaani mwili hata haujapoa tayari mshaanza kuwazia jasho la mwenzenu?!

Pathetic!

Poleni sana wahusika Kwa msiba Huu, muumba awavushe salama katika hili.
[emoji25][emoji848]dah hawa ndio watanzania wenzetu kwa baadhi ya maeneo, wanakaa kusikilizia ndugu nani kafa waende wakavamie mali za urithi.
 
Poleni sana mkuu. Inaonekana unamfahamu vilivyo. Sad ameondoka kijana, taifa likiwa bado linamhitaji.
Kama alivyoandoka mchangiaji mmoja hapo juu, ukishafika level ya kuwa na issues nyingi katika maisha na uchumi imara, ni vema ukiwa na dereva especially nyakati za usiku. Huyu naamini alikuwa na mambo mengi yanahitaji attention yake.
Tujifunze. Mambo mengine siyo luxury ni uhalisia wa maisha.

Matajiri wengine wana ubahili wa kijinga sana ,yaani anaona kuajiri driver akamlipa jiwe 4 kwa mwezi anaona tabu....Matajiri wana mambo mengi ,vichwa vinawaza vitu vingi ,inabidi wawe na madereva wao wawe wanarelax kwenye "pasenja siti" wakitafakari mambo.
 
Back
Top Bottom