TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Hapo kama hakuwaandaa watoto ama Mke kwaajili ya uendelezaji wa biashara zake, ndiyo mwanzo wa mwisho wa hizo biashara zake

Poleni wote mlioguswa na Msiba wake, mbele yetu nyuma yake 😭😭

Kwa sisi tulio hai, tujiandae huku tukisikiliza wimbo wa "King Crazy GK~ Nitakufaje"

If I would have an option to choose, I will prefer dying during my sleep 🙏🙏
 
Ndiyo maana nikasema inabidi uzingatie sheria za usalama. Na sheria moja inasema mawazo yako yote yawe kwenye unachofanya i. e. uendashaji. BTW hata madereva nao ni binadamu na vichwa vyao vina mambo mengi. Tena wengine unaweza kukuta wana mawazo kushindwa matajiri wengi.
Watu wenye biashara na mishe mishe nyingi hiyo concentration unaipataje? Unadhani ni kwa nini hata serikalini wakurugenzi na ma CEOs wanaendeshwa? Ukiwa na uwezo make sure una kuwa na good driver hasa kwa safari ndefu, ili upate muda wa kujikita kwenye mishe mishe zako .
 
Umeongea ukweli matajiri wetu jifunzeni kugawa majukumu kama haya.
1 personal driver
2. Loan manager/ adminstrtor
3. Persnal bussiness advisor/consultant
4. Health adviser or personal doctor.
Utakua umejipunguzia mawazo na stress za kufanya ajali na pressure za mwili, kweli unamiliki biashara worthy 300m ila kila kitu unataka ufanye mwenyewe
Wengi wetu hili ni changamoto. Tuwaombee aliowaacha nyuma. Maana naamini nyuma ameacha kilio kikubwa.
 
Kila leo nasema shida vipaumbele vya nchi,
Mkonga mmoja si chini ya mililon 130,je zinanunuliwa ngapi?Je serikali haiwezi acha nunua kwa angalau miaka minne halafu hiyo pesa ikajenge barabara.
Ajali nyingi shida ni barabara zetu kiasi cha kwamba madereva huchoka barabarani kwa foleni na uwembamba wa njia.au anaweza ona sehemu hatarishi na akaamua kukomaa.
R.I.P Mwekezaji.
 
Hapo kama hakuwaandaa watoto ama Mke kwaajili ya uendelezaji wa biashara zake, ndiyo mwanzo wa mwisho wa hizo biashara zake

Poleni wote mlioguswa na Msiba wake, mbele yetu nyuma yake 😭😭

Kwa sisi tulio hai, tujiandae huku tukisikiliza wimbo wa "King Crazy GK~ Nitakufaje"

If I would have an option to choose, I will prefer dying during my sleep 🙏🙏
Asante, tumeshapoa na tunaendelea na taratibu zingine
 
Pumzika kwa amani Mangi, tunatafuta hela halafu tunaondoka na kuziacha. Ukipata hela usikimbilie kuzificha benki zitumie ufurahie maisha
images (16).jpeg
 
Back
Top Bottom