TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

mkumbukeni Mungu mngali hai. imagine, unamiliki baa za malaya, walevi, unakufa bila kutubu, unapokelewa motoni moja kwa moja. unaungua milele. msije mkaja kusema hatukuwaambia. andaa maisha yako ya kesho, ya sasa yanapita.
Mkuu ulijua je kama hajatubu, unataka kuchukua majukumu ya Mungu sijui walokole mkoje?
 
Tatizo nini hasa?
Pombe mtumish

Nakusihi sana kuna life style flan hivi kwenye maisha haifai kabisa

Hata kuchomana visu na kuuana dodoma ndo inaongoza

Dodoma ni mkoa wenye vijana wajinga sana

Mtu anaweza kukuta umesimama na mdada huna hili wala lile unashangaa tu una kisu cha tumbo

Unakuta kijana alikuwa na demu wake miaka miwili iliyopita wakatengana kesho na kesho kutwa wewe ukianzisha naye mahusiano anaanza kukuwinda huyo x wake bila sababu yeyeto
 

Hili lipo hadi huko vijijini.

Mtu anamuacha mke Kongwa anaenda Kiteto anaoa tena. Halafu anaenda Kilindi anaoa tena.

Baadaye sana anarudi Kongwa anakuta yule mke wa kwanza ameolewa.

Anaanza kupambana na huyo mwanaume mpya wa mkewe.
 
Kijana alikuwa anapambania ndoto zake ww!!!!..... huna zako.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…