TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Rip - hapo kinachofatia ni kugombania mali na mwisho chako ni chako itabaki jina hapa ndo tunajifunza success is about good management on top
Tuwaombee mema tu. Mzee Mamuya alivyofariki Mali yake ilibaki katika mikono salama. Kadhalika huyu kafariki tuwatakie kurithishana pasipo ugomvi kama unavyowaombea.
 
Binafsi ninampango wa kupeleka hoja Binafsi bungeni ili kutungwa Sheria ya usalama barabarani ili mtu anayeendesha gari awe mtu aliyesomea Sheria za usalama barabarani kama anavyosoma daktari maana hizi ajali zinaua sana
 
Kwani hizo Sheria unadhani zinazidi hata kurasa mbili?

Tatizo kubwa ni uzembe wa madereva na mwendo kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…