TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Iko hv, jina Chako ni Chako ni la zamani sana, kinachofanyika ni kuwa mtu anakodi eneo kwa kutumia jina hilohilo jamani.
Wamepita wamiliki kama 3 hv ila walikuwa ni watu wazima kiasi/wazee, na sasa pamekuwa pa moto kutokana na kumilikiwa na kijana God, God ndio aliifufua Chako ni Chako upya na imekuwa maarufu mpaka leo.
Nimeeleweka au bado?
Kuna kipindi palifanyiwa maintanance pakavunjwa mpaka chini na manispaa 2018 kama sikosei...
 
Ila umenielewa?
Mtoto wa kiume pambana na walifanikiwa wasifie tu bila kinyongo na kama unahisi wanafaa kwako kuwa mfano basi, soma hustle zao ujaribu kupita humo.
Ku-copy na kutwist kidogo njia za hustle SIO DHAMBI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sijapinga mkuu nimetoa maoni tuu
 
Asante Detective J
Iliyumba ikagonga nguzo kisha ikabiringika kule barabara ya kwa waziri mkuu alikokuwa anaelekea kwake.
Nahisi alichukua gari ya rafiki yake kwa maana yeye binafsi ana gari 2, Harrier new model na Prado.

Ila kifo kikikuita, haijalishi uko na gari yako au ya mwenzako.
Nawaza je, Chako ni chako bar pamoja na ya kule Iringa road (The Avec) zitapata wasimamizi wazuri, maana mdogo wake wa tumbo moja Richard ambae alikuwa anamfundisha kazi, huu mzigo kwake utakuwa mkubwa sana, sidhani kama atauweza, labda aache pombe[emoji481][emoji1634]
God bado alikuwa anapambania ndoto zake kijana wa watu.

Wahudumu wengi walioko sijui Platinum, Rainbow, Bambalaga, Waswano, The Bistro... wote walipitia hapo Chako ni chako (kabla ya God kumiliki)
Huyu aliridhi hiyo bar au ni muanzilishi maana kwa umri ulotajwa hapo juu na mdau sidhani kama angeweza kuwa na nyumba pale katikati idodomya.
 
Back
Top Bottom