Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Tusipende sana kuwa Matajiri kwa kutegemea Nguvu za Kimaagano ambazo mara nyingi hatuwezi Kuyatekeleza kwa kushindwa Masharti yake.
Mwenyezi Mungu pekee anatosha kwa kukupa Baraka zake zote kama tu Ukimuamini na ukiishi kutokana na Amri Kuu zake pamoja na miongozo yake.
Wakurya watapata tabu sanaBAKITA itabidi lianze kutoza fine kwenye hili tatizo
🙏 Siku haikua umefika mkuu..Mimi pia na imagine nisinge kuepo .apumzike panapo stahili. nikikumbuka ajali mbaya niliyowahi kupata ni MUNGU tu aliniokoa, ungekuta kaburi langu limeota MNAVU mkuubwa kabisa. naamini nitafika uzee na kucheza na wajukuu zangu pamoja na vitukuu.
Kwani huwajui wachaga sehemu ya mwendo wa nusu saa yy ataenda dakika 15 halafu iwe ni content ya kujàdiliwa kijiweni in short wapenda sifaKwani alikuwa anakimbilia wapi?
Angewekeza kwa mungu,bia ungenywea nyumbaniAlishindwa kuwekeza kwa Mungu akawekeza kwa shetani
Matokeo ndo hayo sasa
Madereva wa serikali ni vivuruge kuliko hata bodaboda na bajaji.Siyo tu wenye magari wawe waangalifu barabarani. Hata watembea kwa miguu wawe waangalifu nao.
Mara nyingi nikiwa nimesimama nasubiri magari yapungue nivuke, gari za serikali hasa SUV zina tabia ya kuover take sana. Mtembea kwa miguu umeshajiridhisha umeangalia pande zote kwa umakini, unashangaa SUV ya serikali inatokeza pembeni kwa mwendo mkali. Ukiwa na haraka ya kuvuka inakupitia
ACHA UNAFIKI HAUJENGIMimi najiepusha kufanya yaliyoharamishwa na Mwenyezi Mungu
Wewe za kwako ni zipi ili ukitangulia ukemewe? Au huna dhambi?Nimekuambia hivi kwa mujibu wa dini ni kwamba dhambi usipoikemea hata wewe utaulizwa hiyo siku kwahiyo marehemu hakuwa mtu mzuri kwanini auze pombe na kufuga malaya?
Chako ni chako si ndo sehemu maarufu kwa malaya wanaojiuza hapo dom ? Au siyo pale?
kaacha wake 3 na watoto 11
Safi sanakaacha wake 3 na watoto 11
Hatari huyo fundi inaonesha alikua ana lala amechoka sana na waliokua wanampatia tenda walifanya makosa.Kibosho-Moshi kuna fundi mmoja alikuwa anajenga bila kuwa na msaidizi.
Hii ni hulka ya Wachagga wengi haswa wa Kibosho. Kutaka kufanya kila jambo mwenyewe.
MKuu wabahiri ni hao wanaompa kazi ya Ujenzi ni ajabu bosi ukubali fundi ajenge Nyumba yako bila msaidizi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hao watu wakibosho kama ni ubahiri wamezidi, unajenga je bila kua na msaidizi?
Yani ata akipewa kujenga ghorofa atajenga bila msaidizi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hao watu wakibosho kama ni ubahiri wamezidi, unajenga je bila kua na msaidizi?
Kwani wanaowekeza nyumba za ibada hawafi?Alishindwa kuwekeza kwa Mungu akawekeza kwa shetani
Matokeo ndo hayo sasa