TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

apumzike panapo stahili. nikikumbuka ajali mbaya niliyowahi kupata ni MUNGU tu aliniokoa, ungekuta kaburi langu limeota MNAVU mkuubwa kabisa. naamini nitafika uzee na kucheza na wajukuu zangu pamoja na vitukuu.
🙏 Siku haikua umefika mkuu..Mimi pia na imagine nisinge kuepo .
So haya mambo yatufundishe jinsi ya KUISHI.
 
Siyo tu wenye magari wawe waangalifu barabarani. Hata watembea kwa miguu wawe waangalifu nao.

Mara nyingi nikiwa nimesimama nasubiri magari yapungue nivuke, gari za serikali hasa SUV zina tabia ya kuover take sana. Mtembea kwa miguu umeshajiridhisha umeangalia pande zote kwa umakini, unashangaa SUV ya serikali inatokeza pembeni kwa mwendo mkali. Ukiwa na haraka ya kuvuka inakupitia
Madereva wa serikali ni vivuruge kuliko hata bodaboda na bajaji.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hao watu wakibosho kama ni ubahiri wamezidi, unajenga je bila kua na msaidizi?
MKuu wabahiri ni hao wanaompa kazi ya Ujenzi ni ajabu bosi ukubali fundi ajenge Nyumba yako bila msaidizi.
 
Back
Top Bottom