Mkuu wanaofanya vitendo hivyo ni wazaliwa wa hapo Maana Dodoma sasa hivi ni jiji kama Dar na jiji loote linakusanya Jamii tofaufi.nao makin sana mtumish
Mimi nimekaa hapo dodoma napajua na nina wajua
Vijana wengi sana tumepoteza kwa kuchomana visu dodoma
Mbona Bar ya Chako ni Chako ni ya muda mrefu mno sasa kama unasema huyu ni wa mwaka 1989 maana yake hawezi kuwa ndiye mmiliki mwanzilishi vinginevyo awe aliinunua ama alirithishwa.Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad ππ)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.
Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705View attachment 3142654
Exactly my thoughts, mfanyabiashara saa zote kichwa chake kinachuja na kutafakari vitu. Ni muhimu kuwa na watu wanao mpunguzia unnecessary Stress kama kuendesha gari.Ni ngumu sana kuconcentrate barabarani kwa sababu kichwa chako kinakuwa na mambo mengi
Nadhani huyu ni ndugu na yule jamaa wa Mwika social all Kilelo MakoiHuuu ukoo u a helaaaa helaaa kweli kuna ambao nawajua wadogo wana mame ka.ma wamezaliwa pale world bank
Ndoa ilikuwa December hii kwao Kibosho, hajaacha mtoto.
Kama sio mkorofi π€£ watu watata hata wakitaka kufa huwa wanapambana sana so kufa on your sleep π€ inategemeana ntu na ntu π .Hapo kama hakuwaandaa watoto ama Mke kwaajili ya uendelezaji wa biashara zake, ndiyo mwanzo wa mwisho wa hizo biashara zake
Poleni wote mlioguswa na Msiba wake, mbele yetu nyuma yake ππ
Kwa sisi tulio hai, tujiandae huku tukisikiliza wimbo wa "King Crazy GK~ Nitakufaje"
If I would have an option to choose, I will prefer dying during my sleep ππ
Wakishatajirika wanapata jeuri ya kukiuka masharti - watapukutika.
Tupatie tu mwelekeo wa huyu Bwana baada ya hiki kifoPumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad ππ)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.
Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705View attachment 3142654
Chanzo cha ajali itakua ni uleviPumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad ππ)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.
Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705View attachment 3142654
Ooh kumbe.....sawa...Poleni na msiba rosti ni mbususu kavu kavu
Hatari ukishakufa, watu wanaanza kupigia hesabu ya mali ulizoachaIla watanzania Jamani!!!
Yaani mwili hata haujapoa tayari mshaanza kuwazia jasho la mwenzenu?!
Pathetic!
Poleni sana wahusika Kwa msiba Huu, muumba awavushe salama katika hili.
Halafu hao hao ndio watunga sheria na wanazivunjaSiyo tu wenye magari wawe waangalifu barabarani. Hata watembea kwa miguu wawe waangalifu nao.
Mara nyingi nikiwa nimesimama nasubiri magari yapungue nivuke, gari za serikali hasa SUV zina tabia ya kuover take sana. Mtembea kwa miguu umeshajiridhisha umeangalia pande zote kwa umakini, unashangaa SUV ya serikali inatokeza pembeni kwa mwendo mkali. Ukiwa na haraka ya kuvuka inakupitia
R.I.P classmatePumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad ππ)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.
Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705View attachment 3142654
Naona mfiwa umeamua kushusha kichambo πIla kwanini vichwa vyenu vigumu kuelewa?
Aliyewaambia alikuwa anafuga malaya ni nani?
Hivi, kwa akili yako kuna sehemu ambayo utaweka bar waje kunywa wanaume pekee?
Halafu naomba nikusahihishe kitu kimoja usichokijua, ukiongelea Chako ni Chako unamaanisha ni eneo la kuanzia huku barabarani kwa Montana mpaka usawa wa Platinum bar.
Eneo lote hilo wanawake huwa wanasimama kutafuta pesa ila si ndani ya bar, elewa kiswahili. Halafu wanawake wanaojiuza wanapatikana kule chini kwa Mwana bar uwanjani au tukupeleke? Msiwe mnajifanya wasafi sana kiasi muanze kuhukumu wenzenu acha kila mtu akahukumiwe kwa stahiki na matendo yake. Huwa nakerekwa sana kuona binaadam ambaye nae ni nyama na mifupa anapoanza kutoa hukumu ya fulani wakati hamjui hata chembe tena ndio kwanza anamsikia. Mlishawahi kuulizia historia ya wazazi wenu walipokutana?
KAA KIMYA NA UENDELEE KUSOMA COMMENTS ZA WENZAKO MAANA HUIJUI CHAKO NI CHAKO NA WALA HUMJUI MAREHEMU ILA UNAENDESHWA NA MIHEMKO TU.
Ni kama mtu mmoja amesikika hapo kwenye clip akise "Yesu kristu!!"Kwani marehemu ana husika je na malaya wanao jiunza hapo kwake? Naona unataka kumhukumu.
Kupiga mbege siyo aibu wala kosa ni kama kuvuta na kusukuma pumzi tuYaani katika picha zake zote ndio umeweka hii akipiga mbege?!! π€
I wish I could have died on my late sleep, japo mara kadhaa nimeponea kuondoka kwenye ajali ya gari kama huyo Mwamba tu πKama sio mkorofi π€£ watu watata hata wakitaka kufa huwa wanapambana sana so kufa on your sleep π€ inategemeana ntu na ntu π .
Ndivyo ilivyo mkuuBado kijana alikuwa anapambania ndoto! Haya maisha bhana muda mwingine yanafikirisha sana
Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza mkuuI wish I could have died on my late sleep, japo mara kadhaa nimeponea kuondoka kwenye ajali ya gari kama huyo Mwamba tu π