Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1.
Chako ni Chako
2.
GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3.
The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.
Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705View attachment 3142654