Mkristo, Muislamu, Mpagani, haihusiani na hoja yangu kwako, hoja yangu kwako ni kuwa, wewe ni msafi? Kama ni msafi basi una haki zote kuhoji uchafu wa marehemu ewe uliye mtakatifu.😂😂😂kweli upo sawa kichwani wewe? Huyo marehemu hafai kuigwa katika jamii sasa mtu anauza pombe na kumiliki danguro hivi kwa akili yako unaona ni mtu aliyekawa bora katika ustawi wa jamii kiujumla?wewe ni mkristo tatizo hapo kwa ushaamini Yesu kachukua dhambi za huyo aliyekataa kutii sheria za Mungu
Ndio maana tangu mwanzo ulikwepa kujibu nilichokuuliza kuhusu dini yako....nikuulize kitu kuna dini imeruhusu kuwa pombe ni halali?Mkristo, Muislamu, Mpagani, haihusiani na hoja yangu kwako, hoja yangu kwako ni kuwa, wewe ni msafi? Kama ni msafi basi una haki zote kuhoji uchafu wa marehemu ewe uliye mtakatifu.
Sana 🐒Duh ni mtihani.
Laiti ungemuelewaHakuna jibu lolote hapo lenye akili. Kwamba dhambi ni zile zinazoonekana tu? Wanaojifungia chumbani na kufanya yao wenyewe wakifa? Huyu aseme kama yeye keshamalizana na MUNGU wake ndipo atapata wa uhalali wa kuuliza kuhusu mwingine.
Hapa tunaongelea uhalali wako wa kuhoji usafi wa binadamu mwingine, sio uchafu ulioanishwa na vitabu vya dini. Wewe una uhalali wa kuhoji uchafu wa marehemu? Wewe ni msafi? Sema ndio kama ni msafi utakuwa umefunga mjadala.Ndio maana tangu mwanzo ulikwepa kujibu nilichokuuliza kuhusu dini yako....nikuulize kitu kuna dini imeruhusu kuwa pombe ni halali?
Wasomi wengi ni tatizo kubwa haswa kwenye kujieleza na matumizi sahihi ya sarufi za lugha yetu adhimu...Wanaharibu sana lugha halafu utakuta anajiita msomi
Wasomi wengi ni tatizo kubwa haswa kwenye kujieleza na matumizi sahihi ya sarufi za lugha yetu adhimu...
Mkuu, Namuelewa vizuri tu ndo maana namemuuliza iwapo yeye ni msafi kabla ya kuhoji uchafu wa marehemu.Laiti ungemuelewa
Pombe mtumish
Nakusihi sana kuna life style flan hivi kwenye maisha haifai kabisa
Hata kuchomana visu na kuuana dodoma ndo inaongoza
Dodoma ni mkoa wenye vijana wajinga sana
Mtu anaweza kukuta umesimama na mdada huna hili wala lile unashangaa tu una kisu cha tumbo
Unakuta kijana alikuwa na demu wake miaka miwili iliyopita wakatengana kesho na kesho kutwa wewe ukianzisha naye mahusiano anaanza kukuwinda huyo x wake bila sababu yeyeto
Ikiwa umejenga msikiti halafu wasimamizi wa msikiti wakawa wazinzi
Je utapata thawabu?
Nimekuambia hivi kwa mujibu wa dini ni kwamba dhambi usipoikemea hata wewe utaulizwa hiyo siku kwahiyo marehemu hakuwa mtu mzuri kwanini auze pombe na kufuga malaya?
Wakurya watapata tabu sana
Kabisa.Madereva wa serikali ni vivuruge kuliko hata bodaboda na bajaji.
Yeah, alikuwa maji...alikuwa anatokea Royal hotel
Mkuu kuhusu Guest sio dhambi fikiria mimi dar sio mwenyeji je nikija kufuata biashara kutoka huku mtwara nitafikia wapi?dhambi inakuja pale unapoifanya kama danguro(short time)wanasema na biashara ya guest houses eti tena ?!
Yaani zote biashara za dhambi tupu ?
Mwenyezi Mungu atuhurumie mno na kutusitiri.
Actually hatupaswi kumhukumu yeye bali kwetu liwe funzo,
Huyo yake imeisha.
Maana Imeandikwa: baada ya kifo ni hukumu.
Na hutokea automatically.
Tujitafakali sisi njia na mienendo yetu je inampendeza Mungu na wanadamu ?
Kama sivyo tujirekebishe na kutubu na kumgeukia Mungu.
Utawaweza humu kwa kujifaragua ili mradi mtu aseme chochote hata kama ni uzushi.Tatizo watu wanajifanya wanamjua sana marehemu kuliko sisi ndugu zake, wanajitia miungu watu🧞