Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Mkristo, Muislamu, Mpagani, haihusiani na hoja yangu kwako, hoja yangu kwako ni kuwa, wewe ni msafi? Kama ni msafi basi una haki zote kuhoji uchafu wa marehemu ewe uliye mtakatifu.😂😂😂kweli upo sawa kichwani wewe? Huyo marehemu hafai kuigwa katika jamii sasa mtu anauza pombe na kumiliki danguro hivi kwa akili yako unaona ni mtu aliyekawa bora katika ustawi wa jamii kiujumla?wewe ni mkristo tatizo hapo kwa ushaamini Yesu kachukua dhambi za huyo aliyekataa kutii sheria za Mungu