Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Mbna taarifa ya msibani wanasema alikuwa anatokea avicenna barYeah, alikuwa maji...alikuwa anatokea Royal hotel
Shukrani ila hajaacha mtoto
Yote KheriShukrani ila hajaacha mtoto
kule juu alisema mwenyewe mtoa mada kaoa...pages za chini akasema ndoa ilikua iwe dec hiiTaarifa inasema hajaoa ana mchumba, ndoa ilikuwa ifanyike mwaka huu mwishoni
NakaziaDont drink and drive
Congrats.Mkuu matajiri wana siri nzito Mungu ansaidie nisitaman
AmKATRINA jibu na hiikule juu alisema mwenyewe mtoa mada kaoa...pages za chini akasema ndoa ilikua iwe dec hii
Umemtendea haki ndugu yako hapa JF. Tungekuwa na watu kama wewe ambao pamoja na kuwa hapa tunatumia ID zilizofichama, lakini ikitokea habari potofu kuhusu ndugu au kitu unachokifahamu unasimama kidete kama ulivyosimama, JF ingekuwa mali. Hongera sanaAmina🙏🙏🥺
Nilishatolea ufafanuzi kule juu, ilikuwa niandike kuwa ilikuwa ni uchumba walifanyia kule Nkuhungu kwenye apartments zake. Nikajikuta nasema ndoa.
Ila waja jamani🤔