TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Lakini alfajiri kubwa hiyo ilikuwaje awe amelewa?
Kwamba alikesha akinywa ?
Au ni ndaza kaamka nazo ?

Labda mseme mwendokasi lakini ulevi Sijui aisee unless awe alikuwa na company ya washikaji zake walokuwa wakinywa wote na kuwaacha.

Na Kwanini akeshe anakunywa ?
lack of discipline ??
Kuna taarifa zinakosekana.

Maana maswali ni mengi kuliko majibu.

Huenda kuna watesi wamefanya hila kisha kutaka kuvunga Maboya ionekane ni sababu ya ulefi kupindukia.
 
Inasikitisha mno kwa kweli.
Kijana nguvu kazi imeangamia.
Mwajiri, Mlipakodi jamani 🙆‍♂️🤦‍♀️😭
Poleni wafiwa wale ambao ni innocent maana mahasidi na ndugu wenye chuki hapo hufurahi.
Sema wachaga kwa uchawi na ushirikina sio sana lakini kwa rafiki zake na Watu baki labda!
 
Amina🙏🙏🥺

Nilishatolea ufafanuzi kule juu, ilikuwa niandike kuwa ilikuwa ni uchumba walifanyia kule Nkuhungu kwenye apartments zake. Nikajikuta nasema ndoa.
Ila waja jamani🤔
Umemtendea haki ndugu yako hapa JF. Tungekuwa na watu kama wewe ambao pamoja na kuwa hapa tunatumia ID zilizofichama, lakini ikitokea habari potofu kuhusu ndugu au kitu unachokifahamu unasimama kidete kama ulivyosimama, JF ingekuwa mali. Hongera sana
 
Back
Top Bottom