TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Chako ni chako si ndo sehemu maarufu kwa malaya wanaojiuza hapo dom
Kwa upande mmoja naweza sema "Raha ya milele umpe eeh bwana na Mwanga wa milele umuangazie" lakini kwa hili ulioongea naweza pia nika-entertein "Roho yake ikae Mahali mwenyezi Mungu ataona anastahili"
Mdau anasema " alikuwa ana ndoto nyingi" lakini tukubali ameanza kufanikisha ndoto ya kuchochea ndoa kuvunjika, maendeleo binafsi kudumaa, watoto kutelekezwa
 
Wewe ni nani mpaka uchukuwe nafasi ya Mungu ya kuhukumu? Umejaa chuki na ubinafsi sana. Hivi unajua mtu anayejiita kiongozi wa dini anaweza kuwa anaharibu jamii kuliko mwenye bar?
 
Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.

Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.

Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.

View attachment 3142627
View attachment 3142654
Aisee pole sana kwa ndugu na familia za muhusika lakin pia marafiki, impact inaonekana kubwa mno , aligongana na semi au kitu gani?
 
Back
Top Bottom