TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Kuna tofauti kati ya typo na kutojua kuandika neno. Kwa kutumia akili za kawaida kabisa unaweza kung'amua kuwa huyu aliyeandika ''kutiza'' alitaka kuandika ''kutoza''. Huyo wa ''ajari'' ni wale wazee kata!
Uko sahihi mkuu,mtu anajidai kusahihisha mtu tena Yuko siriazi huku akishindwa kujua aina ya kosa.
 
Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.

Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.

Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.

View attachment 3142627
View attachment 3142654
Poleni kwa msiba wana familia wote
 
Ni ngumu sana kuconcentrate barabarani kwa sababu kichwa chako kinakuwa na mambo mengi
Ndiyo maana nikasema inabidi uzingatie sheria za usalama. Na sheria moja inasema mawazo yako yote yawe kwenye unachofanya i. e. uendashaji. BTW hata madereva nao ni binadamu na vichwa vyao vina mambo mengi. Tena wengine unaweza kukuta wana mawazo kushindwa matajiri wengi.
 
Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.

Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.

Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.

View attachment 3142627
View attachment 3142654
Mkuu matajiri wana siri nzito Mungu ansaidie nisitaman
 
Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.

Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.

Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.

View attachment 3142627
View attachment 3142654
Isijekywa kikombe. Cha njano kimemchykua
 
Aisee pole sana kwa ndugu na familia za muhusika lakin pia marafiki, impact inaonekana kubwa mno , aligongana na semi au kitu gani?
Asante Detective J
Iliyumba ikagonga nguzo kisha ikabiringika kule barabara ya kwa waziri mkuu alikokuwa anaelekea kwake.
Nahisi alichukua gari ya rafiki yake kwa maana yeye binafsi ana gari 2, Harrier new model na Prado.

Ila kifo kikikuita, haijalishi uko na gari yako au ya mwenzako.
Nawaza je, Chako ni chako bar pamoja na ya kule Iringa road (The Avec) zitapata wasimamizi wazuri, maana mdogo wake wa tumbo moja Richard ambae alikuwa anamfundisha kazi, huu mzigo kwake utakuwa mkubwa sana, sidhani kama atauweza, labda aache pombe🍺🥃
God bado alikuwa anapambania ndoto zake kijana wa watu.

Wahudumu wengi walioko sijui Platinum, Rainbow, Bambalaga, Waswano, The Bistro... wote walipitia hapo Chako ni chako (kabla ya God kumiliki)
 
Back
Top Bottom