digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Uko sahihi mkuu,mtu anajidai kusahihisha mtu tena Yuko siriazi huku akishindwa kujua aina ya kosa.Kuna tofauti kati ya typo na kutojua kuandika neno. Kwa kutumia akili za kawaida kabisa unaweza kung'amua kuwa huyu aliyeandika ''kutiza'' alitaka kuandika ''kutoza''. Huyo wa ''ajari'' ni wale wazee kata!