TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.

Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.

Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.

View attachment 3142627
View attachment 3142654
Ajari hizi 😦
 
Ulale pema peponi kamanda chako ni chako - "siku za mwana damu aliyezaliwa na mwanamke si nyingi"
 
Ajali zimekuwa zinakatisha maisha ya watu wengi sana ,hasa vijana umri wa kati na mkubwa kwa namna ya ghafla na kusikitisha sana, wanakuwa katika hali ya afya njema na mipango mingi, mara boom!
Apumzike kwa amani, Chako ni chako ni chimbo maarufu sana hata kwa ambao wanafika Dodoma kwa mara ya kwanza wanapenda kwenda " kupaona".
Kweli aisee ukienda Dom na hujafika hapo ni sawa kama hujawahi kufika Dom.
 
Back
Top Bottom