TANZIA Mmiliki wa Blog ya Maswa Yetu na MwanaJF, Innocent Lugano Mbwaga afariki dunia


Pole kwa wafiwa.
 
Pole kwa sisi sote wanaJFs tumepoteza Mtu muhimu.

Pole kwa JF HQ
 
Ushauri kwa Maxence Melo hizi nyuzi za tanzia zisiwe na sehemu ya comment kwa sababu haina maana. Maelezo/maelekezo yote yawekwe kwenye main post. Pole zetu hazina mchango wowote kwa familia wala marehemu. Asante
Punguza hofu yakifo,maoni yeendelee kuwepo,hii inatufanya kumfahamu vizuri muhusika,mfano mtu kaleta tanzia na membes wanataka kuhudhuria msiba huo so akaulize wapi!? Kwa moderators!?
 
R.I.P Innocent [emoji120][emoji120]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Punguza hofu yakifo,maoni yeendelee kuwepo,hii inatufanya kumfahamu vizuri muhusika,mfano mtu kaleta tanzia na membes wanataka kuhudhuria msiba huo so akaulize wapi!? Kwa moderators!?
Naogopa vipi kitu nachoishi nacho kila wakati?? Unataka umfahamu vizuri muhusika ili iweje ama ikusaidie nini, mtu akifa huo ndio mwisho wa maisha yake, labda ulipaswa kumfahamu akiwa hai vinginevyo ni element za umbea , nimesema taarifa zote (ikiwemo za kuhudhuria msiba ama kama kuna kutoa rambi rambi) ziwekwe kwenye main thread (soma vizuri nilichoandika)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…