TANZIA Mmiliki wa Blog ya Maswa Yetu na MwanaJF, Innocent Lugano Mbwaga afariki dunia

Apumzike Kwa amani kamanda!

Hv kwa Mimi ambae Sina mtu najuana nae humu hata Moja....siku tayre la scania likichomoka road likanibutua nakafa nani atatoa taarifa au uongozi wa jf unataarifa zote za members wake na watajua
 
Bila shaka huyu ni mwanafunzi wangu,aliyesoma Binza secondary.
Pumzika kwa amani kijana wangu,pole sana mzee mwenzangu Mbwaga.
 
JF ifanye mpango tuwe tunatowa hata rambirambi.

Pole sana
 
May 7 alileta bandiko la "kuna athari gani pombe ikizidi kwny damu? Maybe hata ajali imetokana na kuzidiwa kilevi...
Pumzika kwa amani..every one live once
 
Maskini[emoji3064]
Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu Mbwaga
Last seen 24 Nov.

Maisha ni fumbo, hakuna awezaye kutegua.
Saa tuaiyoitarajia tutaondoka.

Muhimu kujiweka tayari.
 
Kumbe nae ni Mnyoa Dongo / Para kama Mimi? R.I.P Kwake .
 
Very sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…